Napiga ila nawaza kanionaje hadi aniambie utumbo huo.Piga Mvinyoo
Hivi kwl miezi 5 asijue ana mimba ....halafu ni mtu anaejielewaMkuu si ulipanda bamia tegemea kuvuna bamia
Kwel ww lignocane...ushaur wenye ganz huuUlipokosea ni kuanza kumdadisi kwamba kwann hakukwambia siku zote hizo, hapa ndipo ulikaribisha tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitake Sana Kuwaelewa wanawake Mkuu
Kitendo cha kumuuliza et kwann hukusema siku zote hizo, 70% ametanguliza kukubali
Ameshaonyesha kukubali akileta zengwe asubiri kupelekwa kwenye dawati la jinsiaAkipiga usipokee
Akitext usijibu....usimblock mwache akutafute atachoka
Tena bahati nzuri mwenye tumbo ni yeye so obviously mimba ni yake
Ameshaonyesha kukubali akileta zengwe asubiri kupelekwa kwenye dawati la jinsia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kashindwa kuunda hoja yakujitoa katika kesi iyo wakat ni nyepesi kabisa.Sifahamu hata ni wapi huko dawati la jinsia
Cha msingi ajitoe hata kinguvu....wanaume wanatia huruma sana siku hizi kulea watoto wasio wao
Nadhani Unataka kutulisha TANGO PORI. inaonyesha ni story unaotaka kutuburudisha. Hamna ukweli hapa.Nilikuwa na mahusiano na binti fulani, nikiwa kama mteja kwenye mgahawa fulani kutokana na mazoea nkabahatika kula mzigo.
Miezi 5 imepita eti ananiambia nilimuachia ujauzito, nikamhoji inakuwaje muda wote huo usiniambie hadi tumbo limeshafutuka hivyo?
Majibu yake sasa...
"Nilikuona uko bize sana halafu hukuwa na time na mimi so nikaamua nikuchunie ila leo nimeamua kukuambia ukweli"
Nilitokwa na jasho jingi sana kwa hasira na nikawa nafkria nimpige au nifanyeje, yaani wahuni wamemjaza huko wamemkataa anakuja kwangu.
Cha ajabu anatuma SMS nyingi sana + calls muda wote kunihakikishia ni mimba yangu.
Wadau nakosa raha kabisa yani hata nikimblock ananitafuta kwa namba tofauti.
Nisaidieni nifanyeje mimi maana hadi nakosa raha naishia kupiga mvinyo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app