Mmmmh! dear cha muhimu zingatia malengo yako ni yapi ambayo uliyojiwekea maishan mwako, fanya kazi kwa bidii, kama ni mwanafunzi soma kwa bidii, usijaribu kukabidhi moyo kwa mwanaume, jibidishe kutafuta pesa kwa kazi yeyote ile iliyo halali ili kupata kipato na siyo kuweka tegemezi kwa mwanaume, sali sana na ujitambue thamani yako wewe kwa maana unaweza kuishi bila yeye coz hukuzaliwa naye, wewe utapata mwanaume mwingine maana umri wako bado unaruhusu na ukaenjoy zaid hata ya huyo, mwisho kuwa na msimamamo thabiti.