Angalia laini yenye mzunguko mkubwa apo utupie nyingi then ayo mengine yasubiri mkwanja ndugu ili usikwameMimi ni mfanyabiashara ndogo tu ya printing& stationery services sasa juzi kati nilisajili laini za uwakala mpesa, tigo pesa, Airtel money na Halopesa. Pesa ya kuendeshea hizo laini kwenye miamala niliitumia baada ya kupata changamoto kidogo za kifamilia. Sasa nina laki 5 mkononi najiuliza je naweza kuanza nayo hiyo kwenye biashara wakati najipanga kuingiza hela nyingi baadaye kwenye hii biashara? Nipo eneo lenye mzunguko mzuri tu ikumbukwe laini nimezisajili miezi 3 sasa imepita naogopa kufungiwa. Maoni yenu kwenye uzi huu ni ya muhimu sana, natanguliza shukran za dhat!
AsanteAngalia laini yenye mzunguko mkubwa apo utupie nyingi then ayo mengine yasubiri mkwanja ndugu ili usikwame
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Kitu gani kimekupatia hio hela uliyokuwa umesevu.. ukatumia na ikabakia laki tano?Mimi ni mfanyabiashara ndogo tu ya printing& stationery services sasa juzi kati nilisajili laini za uwakala mpesa, tigo pesa, Airtel money na Halopesa. Pesa ya kuendeshea hizo laini kwenye miamala niliitumia baada ya kupata changamoto kidogo za kifamilia. Sasa nina laki 5 mkononi najiuliza je naweza kuanza nayo hiyo kwenye biashara wakati najipanga kuingiza hela nyingi baadaye kwenye hii biashara? Nipo eneo lenye mzunguko mzuri tu ikumbukwe laini nimezisajili miezi 3 sasa imepita naogopa kufungiwa. Maoni yenu kwenye uzi huu ni ya muhimu sana, natanguliza shukran za dhat!
Hicho hicho kitu kilichokupatia hio hela ndio uendelee nacho. HAUTAPATA HELA YEYOTE UKIANZA KITU KIPYA. Laki tano sio mtaji wa biashara yeyote siki hizi.Mimi ni mfanyabiashara ndogo tu ya printing& stationery services sasa juzi kati nilisajili laini za uwakala mpesa, tigo pesa, Airtel money na Halopesa. Pesa ya kuendeshea hizo laini kwenye miamala niliitumia baada ya kupata changamoto kidogo za kifamilia. Sasa nina laki 5 mkononi najiuliza je naweza kuanza nayo hiyo kwenye biashara wakati najipanga kuingiza hela nyingi baadaye kwenye hii biashara? Nipo eneo lenye mzunguko mzuri tu ikumbukwe laini nimezisajili miezi 3 sasa imepita naogopa kufungiwa. Maoni yenu kwenye uzi huu ni ya muhimu sana, natanguliza shukran za dhat!
Acha uongo jamaa,unasema laki 5 sio mtaji wa biashara yeyote siku hizi ???Hicho hicho kitu kilichokupatia hio hela ndio uendelee nacho. HAUTAPATA HELA YEYOTE UKIANZA KITU KIPYA. Laki tano sio mtaji wa biashara yeyote siki hizi.
TAJA LOCATION ULIPO ILI WIKI HIIHII MIMI NIJE KUFUNGUA BIASHARA HIYOHIYO KWA MTAJI WA LAKI TATU.Mimi ni mfanyabiashara ndogo tu ya printing& stationery services sasa juzi kati nilisajili laini za uwakala mpesa, tigo pesa, Airtel money na Halopesa.
Pesa ya kuendeshea hizo laini kwenye miamala niliitumia baada ya kupata changamoto kidogo za kifamilia. Sasa nina laki 5 mkononi najiuliza je naweza kuanza nayo hiyo kwenye biashara wakati najipanga kuingiza hela nyingi baadaye kwenye hii biashara?
Nipo eneo lenye mzunguko mzuri tu ikumbukwe laini nimezisajili miezi 3 sasa imepita naogopa kufungiwa.
Maoni yenu kwenye uzi huu ni ya muhimu sana, natanguliza shukran za dhat!
DuuuhHicho hicho kitu kilichokupatia hio hela ndio uendelee nacho. HAUTAPATA HELA YEYOTE UKIANZA KITU KIPYA. Laki tano sio mtaji wa biashara yeyote siki hizi.
Anza na kidogo ulichonacho kisije nacho kikapata dharura nyingineMimi ni mfanyabiashara ndogo tu ya printing& stationery services sasa juzi kati nilisajili laini za uwakala mpesa, tigo pesa, Airtel money na Halopesa.
Pesa ya kuendeshea hizo laini kwenye miamala niliitumia baada ya kupata changamoto kidogo za kifamilia. Sasa nina laki 5 mkononi najiuliza je naweza kuanza nayo hiyo kwenye biashara wakati najipanga kuingiza hela nyingi baadaye kwenye hii biashara?
Nipo eneo lenye mzunguko mzuri tu ikumbukwe laini nimezisajili miezi 3 sasa imepita naogopa kufungiwa.
Maoni yenu kwenye uzi huu ni ya muhimu sana, natanguliza shukran za dhat!