Wakuu bila kupoteza muda naomba nijikite kwenye mada husika.
Mimi ni mfupi wa futi 5, na nimekua nikipenda dating na girls warefu.Mpaka sasa nimeshakua kwenye love relationship na wanawake warefu 7.
TATIZO LINALONISUMBUA
Niwe mkweli wakuu,mimi ni mfupi kote kote kwanzia kimo cha mwili mpaka uume.Wanawake wote ambao huwa na kuwa nao huwa hawaridhishwi na urefu wa uume wangu.
Hichi kitu huwa kinanifanya nipambane kuwa na girls warefu hili kujenga confidence,napenda wanawake warefu hili wanizalie watoto warefu pia.Sitaki watoto wangu waje wanyanyasike kama baba yao navyo pata tabu kwenye relation.
Niwe mkweli,silaha kubwa ninayotumia kuwapata hawa wanawake warefu ni pesa.Nina uhakika 100% wanawake wote hao walinipendea pesa sababu mimi ni mfupi sana na napenda wanawake warefu sana na weupe.
Nilikua natafuta future wife,lakini tatizo girls wengi walikua wanapenda secret love,walikua wanaona noma kinitambulisha kwa watu,yani hata kwenye hafla mbali mbali hawataki tuongozane sababu ya ufupi tukitembea hatuendani.
Kuna kipindi nilikua napumzika mapenzi nakomaa na kumake money,huku nikiamini pesa itakuja kunipa mke wa ndoto yangu.
MPENZI WA SASA
Mwaka jana nilimpata mpenzi mpya ambae alikua na sifa zote ninazozitaka mrefu sana na mweupe.Niwe mkweli huyu girl nilitumia nguvu kubwa ya pesa kumpata.Huyu amekua tofauti na wale wa mwanzo sababu anajiamini na mimi,hamuogopi mtu,sehemu yeyote naenda nae na amenitambulisha kwa watu wake wa karibu karibia wote.
Ni msomi,ana malengo na anajielewa sana.Mara ya kwanza nilikua sikubaliki kwao lakini nilitumia ushawishi mkubwa wa kifedha mpaka sasa ndugu zake wote wananipenda sana.Kitu kikubwa nilichomuwin ni kumfanya aamini bila Mimi hawezi kuishi happy life.Tumepanga kufunga ndoa mwezi ujao.
TATIZO
Toka nizaliwe sijawahi kufanya mapenzi bila kinga,hii ilisababishwa na kumuuguza baba yangu mzazi ambae alikua na HIV.Nilipata tabu sana,baba alinifia mikononi mwangu kwa mateso makubwa sana na nilikua mdogo sana.Toka kipindi hicho niliapa sijikufa kwa ukimwi,yani nauogopa ukimwi kuliko kufilisika.
Hata huyu mpenzi wangu amelazimisha ndoa haraka sababu anasema amezichoka condom zangu.Nilimuahidi peku peku mpaka ndoa.
KIMBEMBE
Simu yake huwa anaweka password muda wote,na mimi sijawahi kuishika.wiki iliyopitia alilewa na kijisahau akafungua pin mbele yangu,tulivyolala niliamka na kuanza kuichungiza.
Kwa kweli niliyoyakuta yalinichanganya sana.Nimekuta txt na rafiki zake akiwambia kuwa ananipenda sana na kuniheshimu hila hawezi kulidhika na ukubwa wa uume wangu lazima atakua anacheat mara moja moja kutafuta uume mkubwa wa kumridhisha na akawataja ma x wake kama watatu hivi ambao atakua anajiburudisha.
MSIMAMO WANGU
Mimi nimeshajikubali kwamba hakuna girl wa kuridhika na udogo wa uume wangu,kwahiyo swala la kusalitiwa sio ishu sana kwangu.Na hata nikimfumania live siwezi kumuacha,mapenzi yamesha nitesa sana.
Tatizo nauogopa ukimwi wakuu,nafikiria ni njia gani itanifanya niishi na huyu mwanamke bila kuniletea magonjwa.
Je tuendelee kutumia condom mpaka ndani ya ndoa.
Au kuna vipimo vipo active sana ambavyo tunaweza kuwa tunijipima kila wiki.
Msaada wenu wakuu naogopa sana UKIMWI.