Ushauri wenu ndugu zangu

Ushauri wenu ndugu zangu

Kakukubali kimapenzi na haja zako anakutimizia!!!!
Kakuambia ukweli dhahiri!!!!
Kakupa ushauri utafute mwingine "wakati uko na yeye" she is so kind hataki uhahe na njia!!!!!
Kakupa na mission ya maisha yake kuonesha yuko serious na hiyo kitu!!!

Unataka nini kiumbe mzito wewe????!!!!!
 
Soma kwanza kijana tafuta first class utaona wanajileta wenyewe.
 
Watu mna muda wa kuchezea hapa bongo.
 
Hivi mpaka hapo anasubiri nini?? Dude move on!!!
hivi siku hizi kitufe cha like kimeondolewa eehh!! nataka nikiugongee nashindwa,back to the topic mwache aendelee kumkumbatia huyo anayemuita duh wake akipata experience ya mapenzi next time hatakuja kutaka ushauri hapa atanyambua mambo yy mwenywe
 
Shangaa na wewe
Kakukubali kimapenzi na haja zako anakutimizia!!!!
Kakuambia ukweli dhahiri!!!!
Kakupa ushauri utafute mwingine "wakati uko na yeye" she is so kind hataki uhahe na njia!!!!!
Kakupa na mission ya maisha yake kuonesha yuko serious na hiyo kitu!!!

Unataka nini kiumbe mzito wewe????!!!!!
Aisee wamenibania laiki eh?
hivi siku hizi kitufe cha like kimeondolewa eehh!! nataka nikiugongee nashindwa,back to the topic mwache aendelee kumkumbatia huyo anayemuita duh wake akipata experience ya mapenzi next time hatakuja kutaka ushauri hapa atanyambua mambo yy mwenywe
 
..mmh! Ila tusimsemee saana ndugu yangu, unajua mapenzi upofu. Huenda anaamini ipo siku binti atabadili mawazo arudi kwake
ndo mana nikasema sometime its beta akapata experince sasa hivi na stress za ujanani ili baadae akikua yasimzingue tena na kuweza kuwaathiri wanaomtegemea
 
Mweleze mamayako haya uliyotueleza ataelewa tu. And its time to move on.
 
anza upya, she's ur another wrong person ever meet with!
WA mwisho ndo atakuwa wa kwanza!
 
Mchongoma haukumbatiwi wewe kijana...
 
Wasaalam
Mimi ni kijana wa makamo tu nipo chuo mwaka wa mwisho sasa..kuna binti ni mpnz wangu wa mda mrefu karibu mwaka sasa tulikua tunapenda sana hadi ikafika steji nikamtambulisha kwa wazazi wangu kua nikimaliza chuo anaweza kua mke wangu wa ndoa..
Juz wakati nipo kwenye mitiani yangu ya semister nikaamua kumpigia mchumba wang Uck niongee nae ilikua mida ya sa4 uck ikawa simu yake inatumika nikawa nampigia mara kwa mara mpk sa7 nikaamua kulala zangu ikumbuke nina mitian asbh nikampigia nikamuuliza jana uck ulikua unaongea na nani? Akanijb rafiki yangu..nikamuuliza rafk yko gani unayeongea nae mda wote uo ata kuona simu yangu hustuki?
Majibu yake sasa..
Nanukuu..bwana ee wewe unatakaje? Aya nilikua naongea na mwanaume unaamuaje? Niliishiwa nguvu akaendelea..
Kwanza nilikua nakusuburi umalize mitian nikupe suprize mimi nipo kwa ajili ya kulipiza kisasi kuna mwanaume nilimpenda sana akatoa hdi mahari kwetu lakin akanikimbia sasa wewe nakuona kama walewale tu..umelia sana na watalia wengi sana jpo nakupenda wewe lkn naumia naona kama nitakutesa tafuta wa kuishi nae wakati upo na mimi...
Nimefanya uchunguzi binafsi nimegundua kuna binamu yake anampa kiburi kwa vile anakauwezo flni kimaisha mimi sina kitu kwa vile bdo nipo masomoni..
Naombeni ushauri wenu nifanyeje kwa vile mama angu aliniambia nisimpelekee msichana mwingine zaid ya yule kwa vile wanapendana sana na ni marafiki wa karibu

Hv vijana mbona hamjui kujitambua wew chapa lapa haupendek sahau kuhsu investment ulyoiweka kwake muache aende zako unamng'ang'ania kwan ni mamako uyo?
 
Back
Top Bottom