Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,321
Ukinipiga glasi nakupiga mpaka uniambie "baby samahani,chukua papuchi hii fanya utakacho bora tu yaishe"
Wakati wa kichapo nlikuwa najitahidi kumpa majeraha madogo madogo, kama kumng'ata, kumtoboa na pini, yani kichapo kikiisha kila mtu anaugulia maumivu...Halafu shost mapenzi ya kupigwa yapo sana, me nlikuwa nasemaga kama wewe wakati bado sijakutana na huyu bondia wangu, ila nikajiuliza nitaacha wangapi? Halafu kupigwa na kusalitiwa bora nini? Naweza kumzuia asinipige kwa kufanya anavyotaka lakini siwezi kumzuia asichepuke kama ni hulka yake
Ila kusema ukweli kipigo kimeninyoosha, nimekuwa na adabu haswa.
:a s 39:hukumpenda.mimi napiga na wanarudi wakikumbuka mgegedo.
Ntakung'oa kucha ooohhooo unipige afu niombe msamaha?
hiyo haipo kwenye katiba yangu....
Wakati wa kichapo nlikuwa najitahidi kumpa majeraha madogo madogo, kama kumng'ata, kumtoboa na pini, yani kichapo kikiisha kila mtu anaugulia maumivu...Halafu shost mapenzi ya kupigwa yapo sana, me nlikuwa nasemaga kama wewe wakati bado sijakutana na huyu bondia wangu, ila nikajiuliza nitaacha wangapi? Halafu kupigwa na kusalitiwa bora nini? Naweza kumzuia asinipige kwa kufanya anavyotaka lakini siwezi kumzuia asichepuke kama ni hulka yake
Ila kusema ukweli kipigo kimeninyoosha, nimekuwa na adabu haswa.
Haki ya nani mi mwanaume akinipiga nasubiri alale nabinya ko.dani tu mpaka zitoe maji!
Wakati wa kichapo nlikuwa najitahidi kumpa majeraha madogo madogo, kama kumng'ata, kumtoboa na pini, yani kichapo kikiisha kila mtu anaugulia maumivu...Halafu shost mapenzi ya kupigwa yapo sana, me nlikuwa nasemaga kama wewe wakati bado sijakutana na huyu bondia wangu, ila nikajiuliza nitaacha wangapi? Halafu kupigwa na kusalitiwa bora nini? Naweza kumzuia asinipige kwa kufanya anavyotaka lakini siwezi kumzuia asichepuke kama ni hulka yake
Ila kusema ukweli kipigo kimeninyoosha, nimekuwa na adabu haswa.
Ntakung'oa kucha ooohhooo unipige afu niombe msamaha?
hiyo haipo kwenye katiba yangu....
...umenikumbusha nyuma nilikuwa na mtu wa aina hiyo, jamani hicho kichapo nilichokuwa napata kim asikuambie mtu! ..nakumbuka nilikuwa mpaka navaa ma-pull neck na longsleeves kuficha alama, yaani hata kwa bahati mbaya nikaulizwa "umefanya nini hapo?" Nilikuwa naishia kusema nilianguka...nimejigonga... visingizio vingi.
..wanawake kweli tuna huruma! Pamoja na hayo bado nilirudi kila alipokuwa anaomba msamaha kwa kulia.. huwa najiuliza sana ni kitu gani hicho kisichoweza kutatuliwa kwa kuzungumza mpaka mdundane
Ata mke hapigwi. Mambo ya kupigwa wengine mnajitakia wenyewe mkipigwa mnanyamaza kimya mnabembelezwa kesho mahaba motomoto. Mwanaume akikupiga mpeleke polisi alale ata siku tatu
Subiri ukue ndio uje hapa useme haya!
Nimeshindwa ku like post yako kwakuwa nitaonekana kama vile nimekipenda hicho alichokuwa anakufanyia huyo jamaa
Nataka kukuambia kuwa pole sana,lakini kikubwa zaidi ni kuwa wafujaji ni wazuri sana wa kuomba msamaha na kulia,wanalia kwasababu wanakuwa wanaona mtumwa wao anataka kuondoka na watakosa wa kumfuja hivyo hutumia kila mbinu kukufanya urudi ili waendelee kukufuja na sio kuwa kwa kulia anajutia alichokifanya na anakupenda
Ukikutana na mtu wa aina hiyo kimbia sana!
Hata nikikua aisee itabaki hivo kama sio kukulaza polisi basi wote tutapelekana hosptal
Nilishapoa baba paroko.... nilikimbia mbona.. maana mh! Kisa cha kutoka na kilema mtoto wa watu ni nini?!
Nina sababu kubwa sana ninapokuambia hivyo
Kuwa mvumilivu tu na utakuja kujua!
habari wana ndugu?
Hivi kwenye dunia ya sasa hivi kuna wanaume wanaopiga wapenzi wao, nasisitiza wapenzi na sio mke
Na huo ndo huwa mwisho wa ugonvi, makosa yote yanasamehewa....Hivi ulishawahi kutwangana halafu mkacheza kibaba baba na kimama mama?
Wanawake wa mkoa wa mara usipo mpiga anahisi auna mpz ya dhati kwake pengine unamsaliti xo kipigo ndo habar ya town!.