mmasi jackson
Member
- Apr 10, 2014
- 68
- 23
niana kung'ata ukome uone kama utarudia tena
kwa kuwa dunia kuna mengi yawezekana wapo wanaopigwa na wanaume wao ....................kwa kweli akinipiga nitamvizia usiku nilipize siwezi kubali kupigwa na mpenzi hata mume kwa nini afanye hivyo loh? nitajifanya ninaota usiku nimng'ate loh ,........
By the way mi siyo muumini sana wa hiyo imani ya kupiga mtu mzima eti kisa kakukosea.....utawapiga wangapi sasa???!!!!busara ni kumaliza tofauti zenu kistaarabu tu..unamdunda halafu unategemea kesho akuoe tamtam
Ukiing'ata na papuchi hapo nitapata raha zaidi! wewe unafaa! unajua love!
kichapo utakula na humvizii mtu. Ntakuvuruga mpaka uwe nusu mfu
Wewe ndugu hujawahi kuudhiwa,hakuna mtu anaepanga kupiga! unashtukia ushapiga vibao saba kwa mpigo.mimi wapenzi nimechapa sana fimbo na vibao.kama ananipenda abaki kama hapendi aende.
Akimng'oa meno ye atang'olewa ulimi...
mpaka univuruge niwe nusu mfu sioni uvungu wa kitanda na kabati nikaingia huko wala hata siogopi... najificha afu usiku nakufuata uone
Wakati Napigwa Nasubiri tu kaa Jinga
Yap! wewe unafaa kuwa mke!
Ni kukosekana kwa maelewano baina ya wawili..binafsi nilishawahi kukutana na mtu wa hivyo..ila nikamwambia nikinyoosha njia nikiondoka ndo mwisho,so siku amenislap..niliondokaa bila kuaga mpaka leo...kumpiga mtu sio suluhu,
Hakika Hujaelewa Comment Yangu,
Hivi Anaefaa kuwa mke ni yule anayesubiri kupigwa??Wallah Patachimbika Nguo Kuchanika
Aah kumbe hufai? ila mimi nilikuwa napiga wanasusa ila wakikumbuka tu mgegedo ninaowapa wenyewe wanarudi.
Aaahh ...Wapi huo ni uongo
kwa hiyo wakati unapokea kichapo unakuwa unafanya nini? mapenzi ya kupigwa siwezi loh