miss tassi
Member
- Feb 12, 2014
- 11
- 2
habari wana ndugu?
Hivi kwenye dunia ya sasa hivi kuna wanaume wanaopiga wapenzi wao, nasisitiza wapenzi na sio mke
Wakati anakupiga ulikuwa umetulia tu?
siku nyingine mponde na glass....
unamdanganya mwenzio watakuja kumng'oa meno
habari wana ndugu?
Hivi kwenye dunia ya sasa hivi kuna wanaume wanaopiga wapenzi wao, nasisitiza wapenzi na sio mke
Wakati anakupiga ulikuwa umetulia tu?
siku nyingine mponde na glass....
kwa hiyo wakati unapokea kichapo unakuwa unafanya nini? mapenzi ya kupigwa siwezi lohMe nilikuwa nabutuliwa hadi basi, tena bila hata sababu ya maana, halafu nikishakula kichapo changu nabembelezwa ugomvi unaisha. Ila kuna siku uzalendo ulinishinda nilimtia kibao cha uso hadi aliona cheche.....kuanzia siku ile naona heshima imerudi kidogo.
Akimng'oa meno ye atang'olewa ulimi...
Ukinipiga glasi nakupiga mpaka uniambie "baby samahani,chukua papuchi hii fanya utakacho bora tu yaishe"
bora hata huyu glass mimi nakuvizia ukiwaumelala nakulipiza siwezi kubali
Yaani,if u break my face,i wl break yoh dick too! Sinaga uvumilivu kwa hili...na anayekupga huyo hakufai jaman!alah mwanamke anatakiwa abembelezwe bana.
Unanivizia alafu unajichomekea mwenyewe hapo sawa,kweli unajua maana ya love!
Ukinipiga glasi nakupiga mpaka uniambie "baby samahani,chukua papuchi hii fanya utakacho bora tu yaishe"