Ushauri wenu muhimu

Ushauri wenu muhimu

abaa4all

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
326
Reaction score
335
Habar wanajamvi.

Kuna Rafiki yangu kaniomba ushauri na mimi sina chakumwambia nikaona nishare na nyinyi.

Rafik yangu anamchumba wake na wanamiaka zaid ya mitano katk uchumba lakin miezi mitatu iliyopita aliamua kutoa posa ili aoe moja kwa moja.

Tatzo limetokea kuna ndugu wa mbali wa yule binti anataka amuoe na alishatangaza ukoo mzima kuwa atamuoa but familia na bint wote hawatk hlo jmbo na hawamtaki yule ndugu wao kiukoo.

Yule ndugu alimwambia demu kama hunitaki bas si mimi wala huyo mtu wako atakaekuoa bora akuoe mtu mwingine wa mbali.

Baada ya hapo maelewano tena baina rafk yangu hakuna bint kila time anafoka hajbu msg wala chchte kile na kesi mpka wazazi wa binti wanaijua.

Na kila binti akiulizwa anasema ametokea tu hampend rafik yangu bila ya sababu.

Inaonekana kma kuna nguvu za giza zimepita.

Wadau ushauri wenu muhimu
 
Mwambie rafiki yako nae atumie nguvu za Giza kuokoa penzi lake.
 
Usijihakikishie kabisa 100% n nguvu za giza maana huna ushaidi wa kutosha, inawezekana pia bint mwenyew mapenz yake kahamishia kwa ndugu yake
 
Vita ni vita muraa, na yeye afanye maarifa
 
Mwambie aoe mdogo wa binti huyo.
Uzuri posa kwasha toa ni vyema waifanyie transfer tu.
 
kwa mimi sioni kama kunahaja ya kutumia nguvu sana jamaa aachane nae kwa muda atafute chombo kingie huyo mwanamke akigunduwa jamaaa kavuta demu mwingine hato kubali lazima nguvu za giza zitashindwa km unavyo fahamu wanawake huwa hawapendi kukuona na mwingine ni hayo tu
 
kwa mimi sioni kama kunahaja ya kutumia nguvu sana jamaa aachane nae kwa muda atafute chombo kingie huyo mwanamke akigunduwa jamaaa kavuta demu mwingine hato kubali lazima nguvu za giza zitashindwa km unavyo fahamu wanawake huwa hawapendi kukuona na mwingine ni hayo tu
Ht km nguvu za giza mkuu?
 
Back
Top Bottom