Ushauri wenu muhimu wakuu!

Ushauri wenu muhimu wakuu!

ngumbwili

Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
36
Reaction score
0
Amani iwe nanyi,

Ni mwanachuo wa mwaka wa kwanza, mhanga wa mkopo kutokana na transfer, tunaambiwa mpaka siku 60, wakati huu ni mgumu sana kwangu. Nimewaza mengi sana ikiwemo kurudi tu kijijin kwetu kuendelea na maisha ya kawaida, kwani naishi maisha ambayo sikudhani kama ningekuja ishi namna hii.

Nakula mihogo asubuhi pas mpaka jioni tena na nmebakiwa na elfu kumi tu, wazazi ndo shida zaidi, bora hata mimi. O- Level na Advanced nimepigwa support sana na watu baki tu, nawaza sana lakini wapo watu wamenfariji sijaondoka mpaka sasa.

Kinachonipa shida zaid ni kwamba mwanzo nilipangwa Open University but nikaambiwa style yao ya usomaji ni online, pale unaenda kufanya mtihani tu, pia ni chuo ambacho wanasoma watu ambao wametingwa sana au wafanyakazi ambao hawana muda wa kwenda class.

Mkopo pia nilipata kupitia hapo lakini naskia wanatransfer mkopo kama ulivyo, hawaongezi hata mia. Nikaenda Loans Board wakasema labda nisubiri kuappeal.

Ndoto zangu zipo rehani sana wakuu, je, nina tumaini gani mimi kwa sasa? MSFANYE TRANSFER WAKUU kama hamna ulazima wa kufanya hivyo.

Mbarikiwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom