Ushauri wenu kwa huyu binti

Hapa kwa simulizi hii ndo nimeamini kwamba wasichana hawajui wanachokitaka
Ila nakushauri mpe nafasi na umchunguze kwa muda mrefu mienendo yake kama inakuridhisha
zaidi na zaidi moyo wako ndo unajua
usimkatae kwa kuwa mwanzo hakukubalia ila jipime kama unampenda kweli
[HASHTAG]#HappyAnniversaryToMeInJF[/HASHTAG]
Kwasasaivi moyo ushaghairi mzee, mwanzoni nilikuwa na hili lengo
 
umeandika mambo mengi ambayo sio ya Msingi...

sasa kama umeshamwambia humuoi sisi tushauri nn sasa??

kwanza hiyo 10% yann..?? ww mwambie kabisa humuoi na hakuna uwezekano wa kumuoa.. akikuganda nenda kwa mganga
Kutafuta nini kwamganga?
 
Naomba kufahamu umri wako na wakwake kwanza nikishajua hapo nitakuuliza swali la pili, ukishajibu hayo, I knw what to tell u, zingatia hilo.
 
Daa... Wanaume hisia zenu huwa ni kama mabasi ya mwendokasi ... Wakaka na ninyi mkitongoza mkakubaliwa mapema mnasema malaya wa kugegeda, mdada akikuzungusha hisia zinabadilika mweee! Wadada na sisi kujifanya sitaki nataka mpaka hisia za wakaka zinabadilika
ahahaaa yaani nimeshangaa
 
me ndiyo maana nikukutaka sizugi ha hahah.. ona sasa dada akijua akizungusha ndiyo ataonekana wa maana kumbe lijamaa limeshajisepea kitambo
 
Eti hatoolewa mpaka baada ya miaka mitatu ndo afikirie kuolewa hivi mtoto wa kike unafikiria sasa ntaolewa asijitie nuksi kukulilia unakuta mume Baada ya miezi kadhaa akapatikana.
 
Naomba kufahamu umri wako na wakwake kwanza nikishajua hapo nitakuuliza swali la pili, ukishajibu hayo, I knw what to tell u, zingatia hilo.
Mzee nipe tu ushauri kama unao achana na masuala ya umri, hata hayana tija yoyote
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom