Mkuu kuna mchongo hapo unachongewa na nakuona kamavile umeshajaa kwenye 18, hapo kuna watu wawili yaani mdai na huyo mkeo, huyo mwanamke anataka hiyo 2.5 ikawe mtaji wake mtakapo achana (mtaachana baada ya muda mfupi sana), halafu hiyo bar mtakayofungua itafilisika baada ya muda mfupi sana. halafu mtaachana urudi tena hapa jukwaani kutafuta ushauri, jiongeze mkuu