Encryption JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 999 Reaction score 1,356 Jun 30, 2020 #41 Ngono Ngono Ngono fanya uoe Brw, ngono si nzuri kwani unatengeneza laana kwa vizazi vyako hasa kwa watoto wako na kama hauna mtoto basi mama yako lazima aipate ni kama unatengeneza Deni. Oa Brw chap,mahari si gharama huku kwetu ni msaafu tu haan
Ngono Ngono Ngono fanya uoe Brw, ngono si nzuri kwani unatengeneza laana kwa vizazi vyako hasa kwa watoto wako na kama hauna mtoto basi mama yako lazima aipate ni kama unatengeneza Deni. Oa Brw chap,mahari si gharama huku kwetu ni msaafu tu haan