Kama hupati madhara endelea
Unapendaje mwanamke bonge?
mzee ulifanyaje nambie unitoe uku na mieKila kitu ni nia na dhamira ya kweli.
Ila ujue kushindana na nguvu ya tamaa za mwili unaowaka mapenzi, huwezi peke yako.
Sikuwahi kufikiria Baharia kama mimi ningekaa miezi kadhaa bila kufanya mapenzi; ikiwa tu wiki moja nilikuwa najiona niko ICU.
Fanya maamuzi tu.
Nimekuwa Mtumwa wa Bwana, Mungu wangu.