Ushauri wenu kuhusu huyu binti

Usipoteze muda kaka! Wanawake ni wengi mno, usichoke kutafuta atakae kufaa....
.....Achana na huyo mamluki!

Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
 
Tuambie huyo binti unamuhongaga hela?unamuhudumia kwa kiasi gani?
Ukinijibu haya maswali tutapata jibu.
 
Aise hapo hakuna mke
 
Hata mimi huwa nawapenda sana wadada wa kiarabu na nilichojifunza kutoka kwao ni kwamba hata wao huwa wanapenda sana wanaume wa kiafrika.Tatizo kuu ni wazazi wao.Wazazi wa kiarabu huwa wanamchukulia mtu mweusi kama panya buku!

Ushauri:Kaa mbali na huyo binti,tofauti na hapo tegemea kuuawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…