G-son
Member
- Sep 5, 2008
- 68
- 17
Wana JF Habari.
Naaombeni ushauri wenu kuhusu gari hizi mbili kwa mazingira ya Kitanzania. Gari zenyewe ni Honda-crossroad na/au Honda-Elysion.
Nimezipenda hasa kwa familia (watu 7 mpaka 8) na nahitaji ushauri ipi ni bora kwa mazingira yetu, kama vile vipuri, ulaji wake mafuta, uimara wake, mafundi n.k.
Asanteni