Ushauri: Wazo mbadala la biashara

Mangole Valles Michael

JF-Expert Member
May 30, 2021
333
671
Wakuu kwema, nimepata frame Tegeta kwa ndevu ipo ndani umbali wa mita 500 kutoka barabara ya lami, hiyo nyumba yenye frame ni lodge ina milango minne ipo njiani kwenye road za mitaan, Kodi ni 100,000 kwa mwezi, idea yangu niliplan niweke duka la vinywaji, pombe Kali zile za bei kidogo isiwe grocery ila liwe duka.

Nilivyoangalia frem ya tatu jirani yeye ni grocery ila hama mzigo wa zile pombe za gharama kubwa tofaut na k vant, ila mita 50 kutoka kwenye frame yngu nikaona Kuna bar moja ila ina frem wanauza pombe zile ambazo nilitaka kuuza na duka limeshehen kweli kweli dah nilivyoona hivvo nikasema hapa kazi ninayo kidogo.

Wakuu nipeni ushauri au mawazo mapya mengine ya biashara ambayo naweza nikafanya pale site kwangu ndo nimelipia Kodi.
 
Weka dawa ya meno,maji,miswaki,kondom,vocha, huduma ya fedha (simu),soda,pamoja na hizo pombe; weka hizo bidhaa zote kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom