Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 785
- 2,590
Home thieter nzuri inaanzia bei gani na kampuni gani wako vizuri mtaalam..Chukua home theater system mdogo wangu
Hizi Allip ni MADE IN GERMANY au nazo ni mchina tu kama hiyo san peano?Nimechoshwa na hizi sabufa za kichina maana baada ya muda zinaanza kukoroma tu. Hapa ina sea piano 8800 nimeitumia miezi minne tu linakoroma hatari.
Nataka kuweka hizi spika za Ailipu ili niwe nakula mziki geto sasa kwa wale wazoefu wa mambo wa music naomba mnisaue kama hizi spika zinakita vizuri ama na zenyewe ni kama sea piano tu.View attachment 2316900
Hizi ni za mchinaHizi Allip ni MADE IN GERMANY au nazo ni mchina tu kama hiyo san peano?
Seapiano ni nzuri sana sema wewe labda utunzaji wako sio mzuri mimi natumia seapiano mwaka wa nne huu no kuzingua bado inapiga vile vile,Nimechoshwa na hizi sabufa za kichina maana baada ya muda zinaanza kukoroma tu. Hapa ina sea piano 8800 nimeitumia miezi minne tu linakoroma hatari.
Nataka kuweka hizi spika za Ailipu ili niwe nakula mziki geto sasa kwa wale wazoefu wa mambo wa music naomba mnisaue kama hizi spika zinakita vizuri ama na zenyewe ni kama sea piano tu.View attachment 2316900
Hayo yenyewe Hatoboi, Hakuna mziki hapoSeapiano ni nzuri sana sema wewe labda utunzaji wako sio mzuri mimi natumia seapiano mwaka wa nne huu no kuzingua bado inapiga vile vile,
Sema tu labda umeamua tu kuiama seapiano lakini kama utunzaji wako ni mbaya na hizo azita dumu.
Kuna topic nyingi sana humu JF watu wamechambua miziki ya kueleweka na bei zake. Achana na hayo matakataka yasiyo na jina
Tafuta Kitu ya Sony, LG, Panasonic au Samsung utasahau maudhi yooote ya sauti mkwaruzo MkuuNishauri mtaalamu nichukue muziki wa aina gani kwa ajili ya geto yani mziki uwe unapiga kweli kweli. Na kwa uzoefu wako brand gani wako njema sekta hiyo. Bajeti yangu ni 600k
Tafuta Kitu ya Sony, LG, Panasonic au Samsung utasahau maudhi yooote ya sauti mkwaruzo Mkuu
Unapata Used, nenda Kariakoo mitaa ya hapo Maduka yanauza simu mkabala na Shule ya Watoto wasioona/Mkapa Sec maduka ya juu ghorofan kuna Wapemba wanauza Used za hatari mnoo. Au nenda Msasani kule kama unaenda Kawe kuna Used za kutoka Europe pia utapata nzuri kwa bajeti yakoKumbe kwa bajet yangu ya 600k naweza kupata mziki wa sony mzuri si ndiyo ?
Nimechoshwa na hizi sabufa za kichina maana baada ya muda zinaanza kukoroma tu. Hapa ina sea piano 8800 nimeitumia miezi minne tu linakoroma hatari.
Nataka kuweka hizi spika za Ailipu ili niwe nakula mziki geto sasa kwa wale wazoefu wa mambo wa music naomba mnisaue kama hizi spika zinakita vizuri ama na zenyewe ni kama sea piano tu.View attachment 2316900
Tatizo lake yeye naona sio mtunzaji mzuriTafuta brand za kueleweka.
Zipo brand za kichina ni nzuri. Tatizo ngumu kuzipata hapa kwetu. Kwetu zinaingia takataka tu
Kilo sita nenda Zenji hapo unavuta mziki Samsung Blueray yenye output ya 1200RMS (used) unarudi bara chenji iliyobaki unanunua K-Vant unamwita demu wako mnakula mziki baadae unamgegeda anaondoka na msimbazi wa kupandia bodabodaNishauri mtaalamu nichukue muziki wa aina gani kwa ajili ya geto yani mziki uwe unapiga kweli kweli. Na kwa uzoefu wako brand gani wako njema sekta hiyo. Bajeti yangu ni 600k
Niliona kwenye nyuzi kadhaa uko deep sana kwenye music. Nashukuru mtaalam tena hapo demu ataliwa kwa mziki murua kabisa, na hilo samsung umelielezea vizuri sana vipi kwa bei hiyo pia naweza pata sony kali. Au kwa swali rahisi sony na samsung yupi yuko good sekta ya music?Kilo sita nenda Zenji hapo unavuta mziki Samsung Blueray yenye output ya 1200RMS (used) unarudi bara chenji iliyobaki unanunua K-Vant unamwita demu wako mnakula mziki baadae unamgegeda anaondoka na msimbazi wa kupandia bodaboda