Masihara hayo boss.Hzo 25m nenda nazo zote afu kopa na zngne kama 30m hv hapo sawa manak kulala pale hyatt regency ni 20m huduma zote bado usafir mtoto mkali andaa 10m unaona sasa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Fake ids zinafanya iwe ngumu kujua kweli na ongoUkiwa mgeni humu unaweza kudhani members wote ni millionaires humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoa ni kitu cha kawaida kwang na iko kwenye normal expensesSijaona ukiweka bajeti ya sadaka kwa wahitaji au wazazi n.k,km wazazi wapo kanunue mbuzi nenda kwenu kachinje ,nunua na vinywaji alika na majirani,mle mnywee mcheze yaani hilo in bonge la fun,chenji itakayobaki wanunulie mahitaji waliyonayo au nenda orphanage center yoyote ufanye hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadada kwa vizingaKwenye hiyo 3m nigawie laki tu fanya kama umetoa sadaka
ha ha ha ha 80/20 principle-ufafanuzi ni muhimuMimi nimemwelewa mtoa mada! Anataka tujue ali invest vipi izo 2M akapata 25M within 60 days
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habari zenu.
Muda kidogo nilipiga deal flan na limelipa nimeingiza 25M kwa mtaji wa 2M tu kwa muda wa miezi miwili.
Nimetenga 6M kwa kure-invest, 8M for savings, 5M for normal expenses nikisubiri return nyingine after two months tena, 3M for emergencies and another 3M for fun.
Kama bajet yang ya Bata mnavyoiona (3M) nipeni direction wapi naweza pata bata za kutosha mfano:
- Vinywaj/vyakula vizuri
- Mademu wakali (all types)
- Massage services
- Clubs etc
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] pacha mbona hivyo hiyo sio kizinga ni sadaka anatoaWadada kwa vizinga
Ungemuomba ukamuoneshe viwanja,hio laki iwe fee yako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] pacha mbona hivyo hiyo sio kizinga ni sadaka anatoa
Khantwe njoo hapa kumbe in normal expenses hahaha!!Kutoa ni kitu cha kawaida kwang na iko kwenye normal expenses
Sent using Uncesored Device
Kama ni kumuonyesha viwanja hiyo haitoshiUngemuomba ukamuoneshe viwanja,hio laki iwe fee yako
Haha comment yangu anajifanya hajaiona. Nimekumiss we dyadya
Hilo ndo lengo anataka akamate watu hapo... Na jf kulivyo na vilaza atawakamata tu!!Mimi nimemwelewa mtoa mada! Anataka tujue ali invest vipi izo 2M akapata 25M within 60 days
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa dar hup mkwanja ni mrefu sana wengine tukiwa na 50k tunafanya fujo balaaJF Raha Sana. Kiasi gani kinatosha?