Mkuu kama upo dar ela haitoshi ndogo sana hio
Sent from my iPhone using JamiiForums
JF Raha Sana. Kiasi gani kinatosha?Kwa starehe katika viwanja vikali na totoozi kali hiyo hela ndogo! Nenda kasalimie kwenu mpe mama na baba au toa sadaka kwa Mungu wako itakusaidia zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hao ni matajiriJF Raha Sana. Kiasi gani kinatosha?
Itakuwa ForexMimi nimemwelewa mtoa mada! Anataka tujue ali invest vipi izo 2M akapata 25M within 60 days
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nina shida nifanyie mpango wa 20000 ntakurudishia. Mkuu nipo siriazWakuu habari zenu.
Muda kidogo nilipiga deal flan na limelipa nimeingiza 25M kwa mtaji wa 2M tu kwa muda wa miezi miwili.
Nimetenga 6M kwa kure-invest, 8M for savings, 5M for normal expenses nikisubiri return nyingine after two months tena, 3M for emergencies and another 3M for fun.
Kama bajet yang ya Bata mnavyoiona (3M) nipeni direction wapi naweza pata bata za kutosha mfano:
- Vinywaj/vyakula vizuri
- Mademu wakali (all types)
- Massage services
- Clubs etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimwelewa vivyo hivyo...... Anataka kuturusha roho hapo Kuna mchezo anafanyaMimi nimemwelewa mtoa mada! Anataka tujue ali invest vipi izo 2M akapata 25M within 60 days
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu ila nimefafanua ili kuepusha maswali toka kwa Great ThinkersMimi nimemwelewa mtoa mada! Anataka tujue ali invest vipi izo 2M akapata 25M within 60 days
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kajojoMimi nimwelewa vivyo hivyo...... Anataka kuturusha roho hapo Kuna mchezo anafanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Nifanyie mpango basi wa ka 20000 mkuuHapana mkuu ila nimefafanua ili kuepusha maswali toka kwa Great Thinkers
Sent using Uncesored Device
JF Raha Sana. Kiasi gani kinatosha?
So natakiwa niwe na kama kiasi gan ya kuspend
Sent using Uncesored Device