PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,178
Unawashwa nini? Mbona sisi CCM hatusemi juu ya Kingunge? Lowasa hawezi kuwa rais hata iweje maana ni fisadi mwizi alitakiwa awe keshakufa kwa kuchomwa motoRe.kichwa cha Habari hapo juu, ni vyema Mkaaribu ratiba zenu na vipindi vyenu vyote, kwa masaa yote Mpaka uchaguzi uishe, mmweke Dr slaa Mwanzo wa Asubui mpaka usiku.
Waleteni na wengine. Wengi Mtukane Lowassa Mwanzo wa Asubui mapaka jioni, kufanya kazi mliyotumwa na Mwenyekiti wenu Bw Antony Dialo na Maccm wenzake.
Ila Mjue kwamba mabadiliko haya hepukiki safari hii, kwa propaganda kwa matusi kwa kejeli. Lowassa ndiye Rais.
Sasa atakapo apishwa sijui mtatafuta shimo la kuingilia na itakuwa fundisho kwa wengine wenye tabia kama za kwenu, kufanya propaganda kwa chuki zenu.
Unawashwa nini? Mbona sisi CCM hatusemi juu ya Kingunge? Lowasa hawezi kuwa rais hata iweje maana ni fisadi mwizi alitakiwa awe keshakufa kwa kuchomwa moto

Kapige Mswaki Maana Midomo Michafu ni Tabia ya Maccm, uja soma soma ripoti ya PPRA juu ya wizara ya Fisadi Magufuli?
RAIS NI MAGUFULI wewe lialiatu
Slaa alitumwa kutuliza vumbi la Kingunge?
Re.kichwa cha Habari hapo juu, ni vyema Mkaaribu ratiba zenu na vipindi vyenu vyote, kwa masaa yote Mpaka uchaguzi uishe, mmweke Dr slaa Mwanzo wa Asubui mpaka usiku.
Waleteni na wengine. Wengi Mtukane Lowassa Mwanzo wa Asubui mapaka jioni, kufanya kazi mliyotumwa na Mwenyekiti wenu Bw Antony Dialo na Maccm wenzake.
Ila Mjue kwamba mabadiliko haya hepukiki safari hii, kwa propaganda kwa matusi kwa kejeli. Lowassa ndiye Rais.
Sasa atakapo apishwa sijui mtatafuta shimo la kuingilia na itakuwa fundisho kwa wengine wenye tabia kama za kwenu, kufanya propaganda kwa chuki zenu.
We unatekenywa au??Unawashwa nini?
Huwa anaalikwa na TV zipi hapa nchi na lini alishamtukana MakufuliMbona sisi CCM hatusemi juu ya Kingunge?
Habari utaipata 25 Oct.Lowasa hawezi kuwa rais hata iweje
Unawashwa nini? Mbona sisi CCM hatusemi juu ya Kingunge? Lowasa hawezi kuwa rais hata iweje maana ni fisadi mwizi alitakiwa awe keshakufa kwa kuchomwa moto
Babu sasa hv hana kazi wangempa ajira tu ya kumpa kipindi cha ujasiri katika ndoa maana anahitaji kushare experience yake katika ndoa