Mbogo nyeusi
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 230
- 541
Maisha halisia nje ya maisha ya mitandaoni hayapo hivi usemavyo.Kwani tangu lini hapa Tanzania kumekuwa na kuomba kibali cha kufanya Mapokezi???
Mapokezi ya Hussein Mwinyi juzi Zanzibar yaliombewa kibali???
Nina fulana yako , karibu kwenye mapokezi ya Lissu
Acha vipofu wamepokee kipofu mwenzao.
"Je kipofu anaweza kuongoza vipofu wenzie"?
BlacklivesMatter
Ndiyo..na ninyi ombeni kibali..Kwani tangu lini hapa Tanzania kumekuwa na kuomba kibali cha kufanya Mapokezi?
Mapokezi ya Hussein Mwinyi juzi Zanzibar yaliombewa kibali?
Tuonyesheni icho kibali chenu.Ndiyo..na ninyi ombeni kibali..
Watanzania wa wapi hao wenye mapenzi na Lissu?! Yaani hii Oktoba 2020 watanzania wataontesha hasira kwa JPM...nadhani haupo Tanzania wewe...Tuonyesheni icho kibali chenu.
Tatizo la CCM mnafikiri mkifanya hivi ndo mnamkomoa Lissu kumbe ndo mnavozidi kujenga mapenzi ya watanzania wote kwa ya Lissu maana wanaona uonevu wenu wa wazi mnaoufanya kweupe kabisa.
Nawaambia tena mwisho wa haya yote ni October 2020 na pale ndo mtakapoona hasira za watanzania zikoje
Airport iko bize kupokea wageni wa kuja kumuaga mkapa, ulinzi utakua tight. Wapange siku nyingine tu.Kwani tangu lini hapa Tanzania kumekuwa na kuomba kibali cha kufanya Mapokezi?
Mapokezi ya Hussein Mwinyi juzi Zanzibar yaliombewa kibali?
Huyo muuaji zikeni wenyewe hatuna mda nayeNi kweli mapokezi ya Tundu Lissu ya tarehe 27/7 tayari yameharibika na Kuna zuio la mikusanyiko kwa barua inayo zunguka mitandaoni.
Nashauri wapambe wa Lissu waandae utaratibu utakao mfanya Lissu ashiriki kwenye hatua zote za kuaga na kumzika rais wetu mstaafu kuanzia Dar hadi mtwara,waandae waandishi wa habari wafanye coverage kwa kila hatua atakayo fanya.
Najua kwa sasa ni vigumu kwa chama kuandaa utaratibu wa kumbrand kwa vile wataonekana wanambeba kwani ni miongoni wa watia nia kugombea uraisi,hivyo wapambe wake wachukue jukumu la kuandaa utaratibu unao faa kutengeneza attention na popularity kwa mh Lissu.
...huyo atakuwa anachat toka KUZIMU😂😂😂Watanzania wa wapi hao wenye mapenzi na Lissu?! Yaani hii Oktoba 2020 watanzania wataontesha hasira kwa JPM...nadhani haupo Tanzania wewe...
Sawaaa....umemaliza kufika "msh.NDOO baada ya kutukana?!!Huyo muuaji zikeni wenyewe hatuna mda naye
Tuko na Maombolezo ya siku 7.....
Airport si sehemu ya maandamano na vurugu....
Ndio hivi mnavyo omboleza?Anawaongoza wenzie kuelekea shimoni!