Kuna mtu kaniamkia juzi ili anikumbushe mchango wakati kanizidi umri, nilicheka sana.
Msg wanatuma kama dozi ya Malaria asubuhi,mchana na jioni
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Ukipokea jua kuna kutoa pia, ndo mfumo ulivyo.Kwanza kwanini huwa wanadai hela kama wamekopesha wakati michango ni hiari?
Ukitaka nikuchangie unipe taarifa miaka mitatu kabla tukio.
Kuna mtu kaniamkia juzi ili anikumbushe mchango wakati kanizidi umri, nilicheka sana.
Msg wanatuma kama dozi ya Malaria asubuhi,mchana na jioni
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Yaani Kuna wengine unakuta Wana watoto 3.Tumetoka kwenye vitu vya muhimu tanaanza fanya showoff tuu siku hizi.
Mie nadhani cha msingi ni ndoa na sio harusi hivyo mkazo ungekuwa je hawa wanandoa watarajiwa ni mabikra? Na sio kuchangishana
😂😂😂😂Anakupangia kiasi Cha kutoa anaijua akiba yako?Kuna mmoja alinipa kadi ya kuniomba mchango miezi 2 iliyopita.
Kesho yake nikajikuta nimeingizwa kwenye group la mchango na ahadi ashaandika.
Yaani yeye ndio amenikadiria kiwango Cha kutoa.!!
Yaani ni ile akikuona mtu anawaza kuwa hii ni 150000 nitaipata.
Anachowaza yeye ni sherehe yake tu.
Nishawai kuwekwa kwenye group la mchango wa harusi... Kama Rafiki...wa huyo bwana harusi wakati hatukuwai Hata piga story...Anakupangia kiasi Cha kutoa anaijua akiba yako?
Kuna mambo tunayaendekeza ni ujinga.Nishawai kuwekwa kwenye group la mchango wa harusi... Kama Rafiki...wa huyo bwana harusi wakati hatukuwai Hata piga story...
Ofisini kwetu...bank mtu anakuja na withdrawal slip anakupa ujaze akatoe kwenye account yako
Yaani Kama lazima
ayaaaaaa..umetiririka vizuriiii ila hapo suala la imani ndiyo,nshakukosa tenaMimi nikipata mume... Atakae kubali tufunge ndo Ile ya mkeka.. ntafurahiaa Sana... Maaan Ni shekh na Kaka ZANGU..na mume...na ndungu baaasi...
Mimi SICHANGIAGI HARUSI....
Yaani Kuna wengine unakuta Wana watoto 3.
Aafu wanakuja kutuchangisha ili wafanye sherehe.
Huu ni ujinga kwa kweli.
Watoto mpaka 3 hamjajipanga namna Bora ya kubariki ndoa yenu?
Mimi nikipata mume... Atakae kubali tufunge ndo Ile ya mkeka.. ntafurahiaa Sana... Maaan Ni shekh na Kaka ZANGU..na mume...na ndungu baaasi...
Mimi SICHANGIAGI HARUSI....