Kwanza mm sio muumini wa watu kupeana taraka.pili ndoa sio Jambo la kukurupuka tu ndugu zangu.nitaanza kuwapA ushauri wanaume;
*Jamani tupende kupunguza na kudhibiti asila zetu tambueni pia kua wanawake nao wameumbiwa asila.unapochukua maamuzi magumu fikilia mala mbili michepuko sio mchongo,nije kwenu wanawake
* Tambueni mamlaka ya waume zenu,mume ni kiongozi jibizana nae kwa heshima na adabu,hakuna haki sawa kwenye ndoa.kipato isiwe sababu ya kumdhalau mwenzio,michepuko sio mchongo.
Sina mengi natumai wahusikamenielewa