Ushauri wangu kwa wadau wa elimu

BSL

Member
Dec 15, 2018
86
98
Nalipongeza Baraza la Mitihani Tanzania kwa kutoa matokeo ya kidato cha nne mapema.

Sasa ushauri wangu ni huu; kama wahusika wa elimu Tanzania mnajua kabisa hali ya uchumi ilivyo nchini wazazi hawana pesa kwa ajili ya watoto wao wanaojiunga na kidato cha tano, hapo kuna michango kibao, milioni moja inaweza kuteketea kwa ajili ya maandalizi.

Sasa nawaombeni mtoe sasa shule wanazojiunga nazo ili kula mzazi ajue mwanaye anaenda shule gani na gharama zake nizipi ili kufikia kipindii cha kuripoti mashuleni wazazi wawe wamechanga changa hivyo wazazi mtawapunguzia usumbufu wa kuuza hadi mashamba ili watoto waende shule.
 
Sasa Kama mwanao kafaulu so ujiandae mwenyewe mapema. Kwa inajulikana ukitoka f4 unaenda chuo au high school. Kutoa mapema selection dio suluhu. Ni wewe mwenyewe kujipanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom