Ushauri wangu kwa viongozi wa upinzani wote

Wewe umeandamana wapi? Umeambiwa Katiba mpya ndiyo dawa ya yote hayo unayolialia, umefanya nini?
Kila mtu atulie anyolewe kivyake.
 
Wenye ushawishi walianzaje? anza hata na mtaa unaoishi, huu ujinga wenu wa kufikiri uchaguzi ni kwa ajili ya Mbowe na familia ake ndiyo mjue madhara yake baadae ndiyo haya. Tena naomba vitu vipande haswa hatara mara 5 ya hapa tulipo
Haya mkuu kazi iendelee

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Mbona watu wanawaunga mkono Sana tu Ila mikutano yao inavamiwa au inakatazwa na polisi kwa visingizio ambavyo havipo. Ukitaka kujua tunawaunga mkono ruhusuni mikutano ndo mjue Kama ccm inapendwa au inalindwa na polisi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…