Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,083
- Thread starter
- #21
Sina tu ushawishi mbona ungeonaAnzisha wewe maandamano sasa, ngojeni CCM iwabane haswa mpaka akili zikae sawa
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Sina tu ushawishi mbona ungeonaAnzisha wewe maandamano sasa, ngojeni CCM iwabane haswa mpaka akili zikae sawa
Wenye ushawishi walianzaje? anza hata na mtaa unaoishi, huu ujinga wenu wa kufikiri uchaguzi ni kwa ajili ya Mbowe na familia ake ndiyo mjue madhara yake baadae ndiyo haya. Tena naomba vitu vipande haswa hatara mara 5 ya hapa tulipo
Wewe umeandamana wapi? Umeambiwa Katiba mpya ndiyo dawa ya yote hayo unayolialia, umefanya nini?Mji tafakari na msimame kwenye uhalisia
Mkitaka watu tuwaunge mkono onyesheni kuguswa na hali anayoipitia mwananchi wa kawaida sio siku za kukosa kwenu kura ndio mjitokeze na kusema wananchi tuandamane
Hilo suala haliwezekani na hamta mpata mtu hata mmoja labda wale mnao walenga
Mimi nilitegemea kwenye matatizo ya wananchi muoneshe huo uongozi wenu ili tuwaamini lakini mmekuwa wapiga kelele kwenye maslahi yenu tu
Alafu mnataka uungwaji mkono hapana kwakweli jifunzeni
hizo siasa mnazotaka nyinyi zimepitwa na wakati mambo ya kufia vyama saizi hatuna wananchi tunajielewa
Na imani siku moja akajitokeza mwamba mmoja akasema kwa kuwa vitu vimepanda bei hebu wananchi wenzangu tuweke maandamano kugomea hili swala
Ama hakika huyo kiongozi atapata uungwaji mkono sana na watu watakuwa radhi kufanya hivyo
Eti leo useme tumeibiwa kura tuandamane!! Ni mweu pekee yake atajitokeza sababu halina faida yoyote kwa mwananchi
Utasikia wakisema nikafe kisa kumpa mwenzetu ulaji ngoja niendelee na mambo yangu
Najua sana mnatamani watu waandamane ila hiyo style mnayotumia never hampati mtu
Hebu mjiongeze acheni siasa uchwara watu tunataka uhalisia wa vitengo sio vinginevyo
Nb: sijaongelea chama kimoja hapa msije mkanitolea povu
Haya mkuu kazi iendeleeWenye ushawishi walianzaje? anza hata na mtaa unaoishi, huu ujinga wenu wa kufikiri uchaguzi ni kwa ajili ya Mbowe na familia ake ndiyo mjue madhara yake baadae ndiyo haya. Tena naomba vitu vipande haswa hatara mara 5 ya hapa tulipo
Poa
Mbona watu wanawaunga mkono Sana tu Ila mikutano yao inavamiwa au inakatazwa na polisi kwa visingizio ambavyo havipo. Ukitaka kujua tunawaunga mkono ruhusuni mikutano ndo mjue Kama ccm inapendwa au inalindwa na polisi tuMji tafakari na msimame kwenye uhalisia