Watu wamepona sukari, moyo na nk. Kwa miti shamba yetu hivo dawa kama hizi zikipelekwa maabara kufanyiwa tafiti nadhani ni hatua kubwa sana tutaipiga kama taifa.Dah asante sana sana pengine hatimaye tiba zetu asilia zitapata nafasi ya kutamba sasa.
Jr
Mimi mwenyewe nimewatibu wengi sanaWatu wamepona sukari, moyo na nk... kwa miti shamba yetu hivo dawa kama hizi zikipelekwa maabara kufanyiwa tafiti nadhani ni hatua kubwa sana tutaipiga kama taifa
Nyie kama wataalam wa tiba asilia nawashauri mliwasilishe hili kwa wizara ya afya ili dawa zenu zithibitishwe kisayansi maabara ziwafae wengi na nadhani mtanufaika zaidi kiuchumi nakulipunguzia taifa gharama za uagizaji madawa.Mimi mwenyewe nimewatibu wengi sana
Jr
Naomba namba yako ya simuMimi mwenyewe nimewatibu wengi sana
Jr
Waafrica tunaendelea kua duni coz hatujajitegemea kifikra lakini corona kiasi fulani imetupa mwanga kua tunaweza jitegemea kifikra na tukapiga hatua kubwa mbele.Wazo zuri sana
Mkuu mbona umekurupuka bila kuelewa vizuri maada, hebu soma upya kisha urudiMnataga waruhusu mambo ya mitishamba hili muwatapeli watu
Hili litawezekana tu iwapo tu tutaacha utegemezi na ombaomba kwa mabeberu. Unajua ile misaada na mikopo tunayopewa ni return ya sisi kukubaliana nao kwenye mambo yao ikiwemo kukubali kuchukua bidhaa zao kama madawa nk.Nyie kama wataalam wa tiba asilia nawashauri mliwasilishe hili kwa wizara ya afya ili dawa zenu zithibitishwe kisayansi maabara ziwafae wengi na nadhani mtanufaika zaidi kiuchumi nakulipunguzia taifa gharama za uagizaji madawa.
Ni kweli mkuu lakini huu ndo wakati serikali inapaswa kuchukua hatua madhubuti na funzo kubwa tumelipata kwa janga la corona, imagine kama karibu robo tatu ya mahitaji yakupambana na corona tumetengeneza wenyewe unadhani kipi kinashindikana?Hili litawezekana tu iwapo tu tutaacha utegemezi na ombaomba kwa mabeberu... Unajua ile misaada na mikopo tunayopewa ni return ya sisi kukubaliana nao kwenye mambo yao ikiwemo kukubali kuchukua bidhaa zao kama madawa nk
Jr
Dah brother sasa hivi si salama sana... Kama ni mhitaji kweli njoo PMNaomba namba yako ya simu
Bado hatujawa tayari wala bado hatuna uthubutu wa kujitegemeani kweli mkuu bt huu ndo wakati serikali inapaswa kuchukua hatua madhubuti na funzo kubwa tumelipata kwa janga la corona, imagine kama karibu robo tatu ya mahtaji yakupambana na corona tumetengeneza wenyewe unadhani kipi kinashindikana?
Mkuu utayari ni fikra, pia kama ni uthubutu walau umeonekana kwenye hili la corona, hatujachelewa sanaBado hatujawa tayari wala bado hatuna uthubutu wa kujitegemea
Jr
Trust me bado sana.. Hakujafinywa.. Tukifinywa kidogo tu tutalegea mlenda umesingiziwaMkuu utayari ni fikra, pia kama ni uthubutu walau umeonekana kwenye hili la corona, hatujachelewa sana
mkuu tusiwe waoga sana kuthubutu, mbona hata wanijeria ni weusi wenzetu bt wamepga hatua kubwa sana kiuchumi akati na wao wanayo mikataba na mabeberu?Trust me bado sana.. Hakujafinywa.. Tukifinywa kidogo tu tutalegea mlenda umesingiziwa
Jr
Napenda uthubutu.. Napenda tujitawale.. Napenda tuondoke kwenye nira na minyororo ya mabeberu... Lakini trust me hatuna action head ya kufanya hayo kwa sasamkuu tusiwe waoga sana kuthubutu, mbona hata wanijeria ni weusi wenzetu bt wamepga hatua kubwa sana kiuchumi akati na wao wanayo mikataba na mabeberu?
trust me shida kubwa kwetu ni kushindwa kuandaa sera na mazingira rafiki
Kwani wizara na serikali hawajui kuwa kuna dawa asili?Nyie kama wataalam wa tiba asilia nawashauri mliwasilishe hili kwa wizara ya afya ili dawa zenu zithibitishwe kisayansi maabara ziwafae wengi na nadhani mtanufaika zaidi kiuchumi nakulipunguzia taifa gharama za uagizaji madawa.