Aliwahi semaga hajawahi ua hata sisimizi.Aisee! Huyu bibi naanza kumuonea huruma pamoja na kuwa ni mtu katiri na kwenye roho mbaya.
Ngoma hiij haitawalikiii...damu zile utatawalaje?? Aende tuuuuuMtihani sana huu kwa mhusika. Kuwa Rais wa vyombo vya ulinzi badala ya wananchi waliokuchagua kwa 98%!!
Hii post ina contradiction kitaalamu ni bandwagon fallacy. Kama kweli mnataka kumtoa Samia kwa nini unamtahadharisha AONDOKE?Bibi yangu
Huku Mtaani Kuna hasira inafuka sijawai kusikia wala kuona.
Siku hiyo ya 9 December sidhani kama kuna polisi, jeshi au nguvu yoyote itaweza kuzima hasira walizonazo watu wa mtaani huku. Swali inabidi kujiuliza siyo je watatoka?
Swali ni je itakuwa mbaya kiasi gani?
Itakuwa mbaya saaana. Wapo wanaodai maiti zao, wapo wanao omboleza vifo vya ndugu zao uliowaua, wapo wasiopenda tabia zako za rushwa, wapo wasiopenda utekaji unafanya, wapo wanopinga wewe kujiapisha kwa kupora urais. Itakuwa mbaaaaya.
Ushauri wangu: Beba kile unaweza, jaribu kufuta ushaidi wa mambo flani flani, kisha ondoka na achana na hii mambo ya Urais.
Jirani yako
Yatakuja kumkuta kama ya gadafiSijui karogwa huyu mama? Au anataka kuuliwa na waandamanaji?
sherehe za uhuru wakafanyie pale pale walipoapishana, huku town wananchi watakua na jambo lao?Mtihani sana huu kwa mhusika. Kuwa Rais wa vyombo vya ulinzi badala ya wananchi waliokuchagua kwa 98%!!
wewe maisha yako ni JF?Acheni uongo, mtaani watu wako bize na maisha yao
Bado maandamano sio lazima iwe tareh 9 kafyu itakua mwaka mzima? Maana hayana kikomoBut the curefew will be 3 days befor 9d. So genz will be failed
Bibi yangu