Ushauri wangu kwa CCM

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Kufuatilia hali ya kutowajibika kwa serikali na hasa ikizingatiwa kuwa moja ya sababu ni kukosekana mtu wa kuwawajibisha viongozi; natoa rai kuwa katika uchaguzi ujao ndani ya chama, Kikwete asichaguliwe kuwa mwenyekiti ili naye awajibike kwa ngazi fulani juu yake. hali ilivyo kwa sasa ni vigumu kwa wanachama kukosoa utawala (sio uongozi) wa Kikwete. Kama rais angeonesha hali ya kuwajibika na kuwatumikia watanzania kwa moyo wa kweli, kusingekuwepo haja ya kumwondoa katika uongozi wa juu wa chama, lakini hali ni kinyume. Haya sio maneno ya uchochezi, ni ushauri wangu kwa CCM kwani Kikwete bado ana miaka kadhaa ikulu na akiendelea kuwa bingwa ndani ya chama tutatetereka kama nchi.

Naiombea nchi yangu Tanzania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom