kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 324
Hivi ahadi za kujenga daraja la kigamboni ni ya miaka 50?Ukweli!!
Ukweli ndio dawa ya Mwongo..
Miaka 50, ahadi hizo hizo.. mnadhani watu hawakui?
Hivi ahadi za kujenga daraja la kigamboni ni ya miaka 50?
sikio la kufa.....????
Ccm ni chama cha siasa haiwezi kuchukua mawazo ya saccos au kampuni binafsiHabari wana JF..
Kutokana na Slogan ya CCM na serikali yao kua wao ni Wasikivu,nimeona si vbaya nikatoa ushauri wangu kama ifuatavyo..
Kwa kuitumia CDM,CCM itaweza kutawala maisha!! Endapo wataitumia CDM kama chanzo cha ufumbuzi.wa Matatizo yanayoikabili Tanzania...
Kufuatilia Mikutano yao na kusikia ni maoni gani yanatolewa na wananchi..
Kero za Maji,Umeme,Wizi ,Ujambazi ulio kithiri sehemu mbali mbali hasa Jijini Dar..
Kwani Wananchi wana imani kua,CDM ndio mkombozi wao na rafiki yao,kiasi huwa free kupeleka malalamiko yao kwao na Wao CDM huyafikisha kwa CCM lakini badala ya kuyafanyia kazi,wanayapuuza..
Hii hupelekea Watanzania kuichoka CCM! Na Kuipandisha chat CDM pac na wao kujitambua..
Ni ushauri wangu kwenu CDM.. Watumieni CDM ili mtawale Milele!!
Mnajazana ujinga tuKabisa .. nakuunga mkono 100/100
Ccm haiwezi kuchukua lolote kutoka kwa wauwaji chadema
Daraja la kigamboni lipo nchi gani mkuu maana kwetu huku hata hatuna hilo
Kibanda, mwenyekiti wa chadema wilaya ya temeke,kujilipua mabomu kwenye mikutano na kumwagia watu kwa tindikaliSokoine,Kolimba...........
Mwangosi na wengineo wengi ni kazi ya CCM kupitia taasisi yao ya PoliCCM..
Kibanda, mwenyekiti wa chadema wilaya ya temeke,kujilipua mabomu kwenye mikutano na kumwagia watu kwa tindikali
Henry kileo kumwagia watu tindikaliSokoine,Kolimba...........
Mwangosi na wengineo wengi ni kazi ya CCM kupitia taasisi yao ya PoliCCM..
Chadema huuwa na kutekeleza uhalifu kisha wanawahi kujisafisha na kupindisha ukweli kwenye vyombo vya habarichadema mna kazi,ulimboka mlituhumiwa,kibanda vile vile ila cha ajabu ccm wanajisahau kuwa wana dola na polisi wasifanya kazi ya upelezi wahusi wakamatwe wako chini yao....in ccm no brain use