Bakwata ni taasisi inayotambuliwa na serikali kama wawakilishi wa waislam Tanzania, kibaya zaidi ni kwamba viongozi wake wengi wanajua elimu akhera tu.Ninaishauri hii taasisi wafumue uongozi wote na kubadilisha katiba yao ili iendane na ulimwengu wa dunia.Nashauri waweke kigezo cha walau degree moja kwa kila kiongozi wa mkoa mpaka mufti.Na kuwepo na wataalamu wa kila Nyanja ili iendane na hali ya dunia kwa sasa ili iwe na mafanikio katika jamii na kiimani
Nwasilisha mada
Sijaelewa ulivyojibu boko haram

Ndo mana nawashauri waifumue taasisi yao ili iendane na dunia ya sasa.Haiwezekani mufti hana hata degree wala diploma.Hii ni aibu
Mufti Simba hajui kusoma wala kuandika. Anayemsomea magazeti na nyaraka za ofisi ni Alhad Mussa Salum sheikh wa DaslamBakwata ni taasisi inayotambuliwa na serikali kama wawakilishi wa waislam Tanzania, kibaya zaidi ni kwamba viongozi wake wengi wanajua elimu akhera tu.
Vyovyote iwavyo alimradi wana Katiba na miongozo ya kuendesha taasisi yao, sidhani kama yatujuzu chochote sisi. La muhimu zaidi ni Bakwata kwa miongoni mwa wanaoifanya dunia kuwa mahali salama zaidi pa kuishi. Angalau watoe kauli kuonesha msimamo wao dhidi ya ugaidi kitu ambacho sijawahi kukisikia kutoka Bakwata asilani.
Mufti Simba hajui kusoma wala kuandika. Anayemsomea magazeti na nyaraka za ofisi ni Alhad Mussa Salum sheikh wa Daslam
Mufti Simba anaweza kukusomea duaa ya kukugeuza mjusi ndani ya dk 3. Mpe sasa gazeti asome...utashangaahii balaa.. nasikia ni.mtaalam wa kusoma aya mbalimbali.
Elimu ya kizungu ni ya kipuuzi
Magaidi kama Marekani na Israel wanaoua watoto na wanawake wa Palestina Bakwata ilishatoa tamko la kuwalaani