Ushauri wandugu

Ushauri wandugu

mhhhhh

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
240
Reaction score
126
Naweza kusoma combination nyingine baada ya kutokufanya vizuri katika mtihani uliopita NINA ECONOMICS E GEO S H E?
 
unaweza mkuu ondoa shida ila weka matokeo ya o'level tukupe ushaur vizur
 
Civics D, Geo D, Kisw C, Eng C, Hist C, Ph D, Chem D, Bios D, B.Math D
 
jamaa Mhhhhh nafatilia sana post zako na comments zako una diploma ya below 3.5 na unataka degree. ,anaweza kusoma kwa style ya Ku re sit kisha unapata principle mbili unaenda university bila kufuata GPA
 
Hivi kwa mtu mwenye E flat kwa matokeo ya sasa hivi, atachukua muda gani kupitia hiyo sp
 
Back
Top Bottom