manonawire JF-Expert Member Joined Dec 31, 2017 Posts 942 Reaction score 1,228 Jun 7, 2018 #21 Unawataka ugomvi
Quinton Canosa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 1,228 Reaction score 1,264 Jun 7, 2018 Thread starter #22 Chinsali said: Wengi wanadanganywa na umri kuwa bado wanalipa ,umri ukipita wanaanza oooh Mimi siolewi Mara hvi kumbe wanajiroga wenyewe. Click to expand... hatari sana
Chinsali said: Wengi wanadanganywa na umri kuwa bado wanalipa ,umri ukipita wanaanza oooh Mimi siolewi Mara hvi kumbe wanajiroga wenyewe. Click to expand... hatari sana
Quinton Canosa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 1,228 Reaction score 1,264 Jun 7, 2018 Thread starter #23 Nyalotsi said: Hata kwenye biblia ya kale makahaba walikuwepo. Hivyo wengine wapo ili wawe makahaba. Sema usuria ndio wameukimbia siku hizi. Ilitakiwa wengine wawe wasaidizi wa wake za watu. Click to expand... haha haeti hata makahaba walikuwepo
Nyalotsi said: Hata kwenye biblia ya kale makahaba walikuwepo. Hivyo wengine wapo ili wawe makahaba. Sema usuria ndio wameukimbia siku hizi. Ilitakiwa wengine wawe wasaidizi wa wake za watu. Click to expand... haha haeti hata makahaba walikuwepo
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,524 Reaction score 185,666 Jun 7, 2018 #24 repetisiooooooooooooooooo ila sawa meseji sent cc Smart911
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,851 Reaction score 197,456 Jun 7, 2018 #25 Mambo yao waachie wenyewe... Cc: mahondaw