Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Madame S na wewe ni muhanga niniHahahhaa jamani haya tumekuelewa
Mie?? Hapana kwa kweli me mtoto wa watu nimetuliaMadame S na wewe ni muhanga nini
nimeupenda huu ushaurWanawake wanaojielewa wanalitambua hili.
Wanawake mcharuko hawatambui, wao maisha fake, tabia chaf, kuchukua ushauri kwa mashoga..
Nataka kuwaambia wanawake mcharuko kuwa hakuna kipindi mwanaume anakuwa makini kama kipindi cha kutafuta mke, yes mke, hapa ukichemsha mwanaume anakutema instantly.
Kuwa real, usiwe fake lasi hivyo mtazid kuumia everyday
Wenye masikio na wasikieWanawake wanaojielewa wanalitambua hili.
Wanawake mcharuko hawatambui, wao maisha fake, tabia chaf, kuchukua ushauri kwa mashoga..
Nataka kuwaambia wanawake mcharuko kuwa hakuna kipindi mwanaume anakuwa makini kama kipindi cha kutafuta mke, yes mke, hapa ukichemsha mwanaume anakutema instantly.
Kuwa real, usiwe fake lasi hivyo mtazid kuumia everyday
na ubakie hivyo hivyoMie?? Hapana kwa kweli me mtoto wa watu nimetulia
Ni hatari sana rebecani kweli,jamii ndiyo inayotukataa sisi 'wasindikizaji' wa wenzetu.LOL..pressure kila mwanamke akifikisha miaka Fulani anakua expected kuolewa...
Hayana ubakie hivyo hivyo
Sakayo ulipo shikilia haswaSawa
Sawa mkuu, umesomeka kwa utekelezajiSakayo ulipo shikilia haswa
sijui hawajausoma mchezoNa siku hizi hili janga linazidi kuwa kubwa wanawake kutoolewa.
Wengi wanadanganywa na umri kuwa bado wanalipa ,umri ukipita wanaanza oooh Mimi siolewi Mara hvi kumbe wanajiroga wenyewe.sijui hawajausoma mchezo
Kama wasipokuelewa basi hiyo dhambi itakuwa juu yaoWanawake wanaojielewa wanalitambua hili.