Ndugu zangu naomba niwasalimu na niwaulize.
Mimi nilimpenda mdada baada ya kuwa na ndoa na nikazaa nae. Mke wangu ambae tulikuwa na watoto 2 akakasirika sana,akaokoka.
Jambo la ajabu anaona wale walokole kama ndio ndugu kuliko hata watoto wake.
Mimi sina raha nyumbani,hatuongei mema,mapenzi nk.sisi maongezi yetu ni office type.Mtoto amelala,jibu ndio,basi. Kwa ukweli kwa mke wa pili hajui suala hili ambalo limedumu zaidi ya miaka 3. Nilifanya kosa nalikubali,lakini adhabu yake imenishinda!Na nimepata kijinafasi cha kuishi nje ya nchi(naweza niende au ni siende). Je, nimtoroke huyu mama watoto au kuna njia?
Kwa wachungaji,ndugu,wajumbe kote imeshindikana.
Natanguliza shukurani.