Kama ana kazi basi ujue ndio inayomtia kiburi.
Mkikorofishana usiende kushitaki kwa wakwe zako, wakwe zako hawatakusaidia kwani Huyo ni mtoto wao yaani nidamu yao hawawezi Kuwa upande wako wakasliti damu yao. Suluhu ya kweli Mkikorofishana name wako jioni we we mwache alale asubuhi baada yahasira kwisha , mkae ndani ya chumba chakulala nyingi wawili tu mshauriane na mwenye makosa akiri naiwe siri ya nyinyi wawili turn kwani mambo ya ndoa ni siri ya watu wawili tu. Nimwiko kumshauri mke mkiwa wote na hasira.