nimelima mpunga huko katavi mpanda ekari kama 10 pia ninataraji kununua mpunga ili nihifadhi bei ikipanda nauza lkn juzi nilikuwa naongea na jamaa yangu mmoja akaniambia kuwa kuna uwezekano serikali ikashusha bei ya vyakula je hii ina ukweli wowote?

Acha kusikiliza maneno ya uswahilini, piga kazi soko la mchele haliwez kosekana. Ukisikiliza sn maneno ya mtaa utakata tamaa. Ongeza bidii na ufanisi, mali iko shambani