Ushauri wako unahitajika

SangaweJr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
2,990
Reaction score
2,669
Habari wanafamilia wa jukwaa hili
Mada mezani inasema hivi ni App gani ya android ya video call ambayo iko vizuri haina usumbufu kulingana na mitandao yetu ya kibongo.
Karibu kwa ushauri
Cc Chief-Mkwawa Mwl.RCT
 
Last edited by a moderator:
Kama mtandao ni wa ovyo hata iwe software gani bado tu utapata poor data transmission.
Google Hangouts, Skype, Facebook video, Viber mbona zote zinafanya vizuri tu...
 
Habari wanafamilia wa jukwaa hili
Mada mezani inasema hivi ni App gani ya android ya video call ambayo iko vizuri haina usumbufu kulingana na mitandao yetu ya kibongo.
Karibu kwa ushauri
Cc Chief-Mkwawa Mwl.RCT

Skype Video call kwa eneo lolote lenye 3G kwa mnaopigiana haina shida kabisa
 
Kama mtandao ni wa ovyo hata iwe software gani bado tu utapata poor data transmission.
Google Hangouts, Skype, Facebook video, Viber mbona zote zinafanya vizuri tu...

Wewe unapendelea ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…