Daaah!
Sasa huyu ni kwamba anamwonea mama yake huruma ama anaona wivu kwa huyu rafiki yake ama anamwogopa baba??
AS FOR ME I WILL LEARN TO CLOSE THE WHITE STONES IN MY MOUTH............
Lakini nitamake sure kwamba she pays for what she is doing to my mother!!!!!!!!!!!
Yaani unaomba lift kisha unataka kupiga na honiii??? no way lazima ulipe!!!!!!!!!!!!!
Mwambie huyo binti awe jasiri kuongea na huyo ndugu yao kwamba anayaona wanayoyafanya na kama haachi atamueleza mama yake (hata kama hana nia hiyo), lakini pia aongee na baba yake kwa namna awezavyo ili baba ajue kwamba binti yake anajua, na pia amtahadharishe juu ya afya ya mama lakini pia heshima yake kwa majirani, mzee anaweza kuwacha.. huyu mzee sijui ana miaka mingapi huyu na akili zake sijui zina mawe..akh....Heshima kwenu wana jamvi. Nina rafiki yangu ameniomba ushauri nikaona si vibaya nikiwashirikisha juu ya jambo hili. Wapo watoto watatu katika familia yao ye ni msichana, pia wana kaa na mtoto mwingine wa kike wa dada yake mama yake ambaye amesha tangulia mbele ya haki. Tatizo limekuja kwamba amegundua kwamba huyu msichana ana mahusiano na baba yake na ameshindwa kumwambia mama yake kwa kuwa mama ana presha na amebaki asijue la kufanya. Pia hawajapishana sana kiumri kati yao. Ushauri wako afanyaje please ...
Hahahahha nsee a muro kwamba nawe utalipa kisasi au? Ah mie ntahakikisha am becoming pain in their a.sses aisee, hakuna ataelala kwa amani kati yake na baba.................labda waamue kuyahamishia mapenzi yao haramu mbali na maisha yangu na mamangu.
You are very right my dear........Baba ni baba. Tofauti yangu ni kuwa alishatupa huo uhuru tangu miaka hiyo kuwa mkubwa akikosea msemeshe kwa adabu. Usimwogope. Nawaza tu huyo unaesema mdandia lifti akinijibu kuwa yeye kafatwa na kutongozwa kama alivyofuatwa na kutongozwa mamangu nitamjibu nini? Kuwa kosa lake ni kwa nini alikubali sio? Na je iwapo alilazimishwa na kutishiwa? (ama sivyo atafukuzwa akaendelee kuwa yatima?). Sijui bwana but mie nimepoteza imani kwa kiumbe aitwaye mwanadamu mwenzangu anawezafanya chochote chini ya jua hili. Tena wazazi wetu wennyewe wa siku hizi?Mimi wala sitamgusa baba yangu as AMENIZAA AND AM WORTH HIS ENERGY AISEEE!!!!!!!!
SO sitakiwi hata sikumoja kumuabisha hata kama kakosea nini I SHOULD STAND TO PROTECT HIS DIGNITY AND MANHOOD AS WELL AS NOT TO HURT MY MOM!!!!!!!
Nitadeal na huyu aliyeomba lift...............huyu lazima angelipa ubaya wake tena KIMYA KIMYA yaani sitatumia nguvu nyingi nitaenda nae kama vile namsukuma mlevi..
Yaani mimi huwa ninaroho mbaya sana and wiping somebody from this life is also possible if needs arises!!!!!!!!
Mwambie huyo binti awe
jasiri kuongea na huyo ndugu yao kwamba anayaona wanayoyafanya na kama
haachi atamueleza mama yake (hata kama hana nia hiyo), lakini pia aongee
na baba yake kwa namna awezavyo ili baba ajue kwamba binti yake anajua,
na pia amtahadharishe juu ya afya ya mama lakini pia heshima yake kwa
majirani, mzee anaweza kuwacha.. huyu mzee sijui ana miaka mingapi huyu
na akili zake sijui zina mawe..akh....
You are very right my dear........Baba ni baba. Tofauti yangu ni kuwa alishatupa huo uhuru tangu miaka hiyo kuwa mkubwa akikosea msemeshe kwa adabu. Usimwogope. Nawaza tu huyo unaesema mdandia lifti akinijibu kuwa yeye kafatwa na kutongozwa kama alivyofuatwa na kutongozwa mamangu nitamjibu nini? Kuwa kosa lake ni kwa nini alikubali sio? Na je iwapo alilazimishwa na kutishiwa? (ama sivyo atafukuzwa akaendelee kuwa yatima?). Sijui bwana but mie nimepoteza imani kwa kiumbe aitwaye mwanadamu mwenzangu anawezafanya chochote chini ya jua hili. Tena wazazi wetu wennyewe wa siku hizi?
kwani na kwenu yametokea kama hayo mkuu..??Najaribu kuvaa hivyo viatu, hata havinitoshi lol! Ningeshalianzisha siku nyingi hapo home, naogopa sijui nn kingetokea wengine tuna hasira mbaya
kwani na kwenu yametokea kama hayo mkuu..??
Heshima kwenu wana jamvi. Nina rafiki yangu ameniomba ushauri nikaona si vibaya nikiwashirikisha juu ya jambo hili. Wapo watoto watatu katika familia yao ye ni msichana, pia wana kaa na mtoto mwingine wa kike wa dada yake mama yake ambaye amesha tangulia mbele ya haki. Tatizo limekuja kwamba amegundua kwamba huyu msichana ana mahusiano na baba yake na ameshindwa kumwambia mama yake kwa kuwa mama ana presha na amebaki asijue la kufanya. Pia hawajapishana sana kiumri kati yao. Ushauri wako afanyaje please ...
Mimi wala sitamgusa baba yangu as AMENIZAA AND AM WORTH HIS ENERGY AISEEE!!!!!!!!
SO sitakiwi hata sikumoja kumuabisha hata kama kakosea nini I SHOULD STAND TO PROTECT HIS DIGNITY AND MANHOOD AS WELL AS NOT TO HURT MY MOM!!!!!!!
Nitadeal na huyu aliyeomba lift...............huyu lazima angelipa ubaya wake tena KIMYA KIMYA yaani sitatumia nguvu nyingi nitaenda nae kama vile namsukuma mlevi..
Yaani mimi huwa ninaroho mbaya sana and wiping somebody from this life is also possible if needs arises!!!!!!!!
okay.. it is hard to react especially with our African dads, super powers!!Hapana mkuu, hayajawahi kutokea, i try to imagine kama ndo yangetokea lol!