Ushauri wako ni muhimu kwangu tafadhali

Ushauri wako ni muhimu kwangu tafadhali

Elongolongo

Member
Joined
Oct 29, 2023
Posts
23
Reaction score
26
Mimi ni kijana wa kiume, nina miaka 19, Nilimaliza kidato cha nne mwaka Jana, lakini matokeo yangu hayakuwa mazuri.. nilipata div 4 ya point 33.

Lakini baada ya kumaliza shule nilienda Veta nikasoma udereva, na nina cheti cha udereva pamoja na leseni daraja D. Ila sasa nina mpango wa kurudi Veta kusoma tena ila naomba kupata ushauri ni kozi gani ambayo itakuwa nzuri na ambayo utaniwezesha kujiajiri au kuhajiriwa kwa ajili ya maisha yangu ya baadae?

Naomba ushauri tafadhali.
 
Mimi ni kijana wa kiume, nina miaka 19, Nilimaliza kidato cha nne mwaka Jana, lakini matokeo yangu hayakuwa mazuri.. nilipata div 4 ya point 33. Lakini baada ya kumaliza shule nilienda Veta nikasoma udereva, na nina cheti cha udereva pamoja na leseni daraja D. Ila sasa nina mpango wa kurudi Veta kusoma tena ila naomba kupata ushauri ni kozi gani ambayo itakuwa nzuri na ambayo utaniwezesha kujiajiri au kuhajiriwa kwa ajili ya maisha yangu ya baadae? Naomba ushauri tafadhali.
Somea hapo mwanangu ata fundi bomba au filter mechanical
 
Tafuta sehemu ufanyie kwanza kazi hiyo fani yako ya Udereva upate uzoefu kwanza siyo unadandia dandia vingine wakati vya awali venyewe hujamaliza
 
Kaombe kusomea udereva NIT karibu taasisi nyingi zinazotafuta madereva wanasisitiza aliepitia hiki chuo.

Kama unaupenda udereva basi ujuzi wako uwe udereva.mwwnyewe utachagua
 
Back
Top Bottom