nimeanua kuachana na tv-chogo....nataka kununua flat screen...wadau wenye kuzijua vizuri..je aina gani ni nzuri?kwa hapa arusha zinapatikana duka gani?bei yake tafadhali?
Kwangu mimi hakuna TV zaidi ya Samsung, rangi ipo clear sana na zinadumu!
Kwangu mimi hakuna TV zaidi ya Samsung, rangi ipo clear sana na zinadumu!
Hapa mm sijakuelewa golota
kuwa makini na maduka ya pale stand na yale maduka madogomadogo.. wanauza samsung na LG. ambazo ni clone.
Bora ununue TCL au Singsung kwa bei poa sio mbaya. mimi nimetumia singsung Led haijaniangusha kabisa.
kuna TV za samsung clone huwezi kutambua kama ni feki tatizo lake kubwa hazina audio output.
Bei ya sony bravia ni sh ngap kwa hapa dsm?