Ushauri wadau

Tish

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
360
Reaction score
209
Naweza kubadilisha battery ya simu na kuweka kubwa zaidi lakini ziwe zinaingiliana je kitaalamu haina madhara kwa simu.
 
Yaani unamaanisha labda battery OG ya cm ni 2500mAh ila unataka uweke battery ya 4000mAh????
 
hakuna madhara ila jiandae tu simu kuwa nene zaidi. unapewa na cover la nyuma la kubadilisha kabisa.
 
angalia hii picha hapa



hio ni simu imeongezwa ukubwa wa battery, imekuwa nene kuliko ilivyokuwa mwanzo.
Chief kwa hiyo nikiweka battery ya kawaida inayoingiliana sawa na bettery org ya simu ila kubwa ki uwezo badae simu itanenepa kama hivyo kama ndivyo nibora tu nisitishe uo mpango
 
Chief kwa hiyo nikiweka battery ya kawaida inayoingiliana sawa na bettery org ya simu ila kubwa ki uwezo badae simu itanenepa kama hivyo kama ndivyo nibora tu nisitishe uo mpango
batter inavyozidi kuwa kubwa ki mah ndio inavyozidi kuhitaji nafasi kwenye simu.

unataka kueka simu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…