Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,485
- 5,719
Pesa pesa, mkwanja mkwanja., mpunga mpunga... ndo kila kitu mazee
Hahaha sasa kuna raha gani upo na mwanamke ila unajua hakupendi anaganda kwa sababu hela ipo tu. Aisee mie siwawezi hao wa hivyo, wacha nikomae na kimwali wangu wa ukweli tu ambae upendo ndio unatuunganisha sio helaInabidi tuelewe kuwa pesa haikufanyi ukapendwa bali pesa inakufanya yule unayemtaka awepo (abaki)! Kama ndicho unachokitaka basi tafuta pesa kwa nguvu zako zote!
Umejuaje kuwa hajapenda kipato chako??Hahaha sasa kuna raha gani upo na mwanamke ila unajua hakupendi anaganda kwa sababu hela ipo tu. Aisee mie siwawezi hao wa hivyo, wacha nikomae na kimwali wangu wa ukweli tu ambae upendo ndio unatuunganisha sio hela
Nmeanza nae nikiwa sina kitu pamoja na mitihani yote niliopitia she z been the best woman for longUmejuaje kuwa hajapenda kipato chako??
Ulishawahi ugua kiasi cha kushindwa kwenda kazini kwa muda mrefu na ukamuona habadiliki tabia? Ulishawahi kufukuzwa kaz na kukaa jobless for a longtime and alikaa naww kama zmn??
Umepimaje yaan kuwa hupendewi mambo safi??
Keep her in ur secret place.....Nmeanza nae nikiwa sina kitu pamoja na mitihani yote niliopitia she z been the best woman for long
I do bruhKeep her in ur secret place.....