Unadhani ni busara kujadili matatizo ya ndoa before marriage; What for? get prepared?
Gaijin turudi kule kwa Atheist lol!!!Na hata kama watu wanafanya kienyeji na kuondoka tu, hiyo ilikuwa kipindi hicho.
Sasa kwa mfano mwanamke wewe ndo pesa yako imetumika kujenga nyumba mnayokaa, na watoto wewe ndio unalipia shule, lakini uondoke kimya kimya?
Ni muhimu kwa suala zima la sheria kuwekwa wazi ili wanawake (na wanaume) wajue haki yao wanaipata vipi.
Arifu..bado unaambaa nao sikuwezi..lolungefuatilia kwa nini wanasheria wanasisitiza watu waandike
urithi wa mali zao kabla hawajafa...ungeelewa why ni muhimu
kuwa prepared na kila kitu in life....
Gaijin turudi kule kwa Atheist lol!!!
Ukitaka kuachika Boss unasomba kilicho chako unasepa; I have seen that in most cases.
Kwa Bongo ni very rare kusikia mwanamke aliyeamua kuwa ndoa yangu sasa basi anaulizia sheria inasemaje.
Hayo mambo ya sheria yanafuata baadae sana baada ya some years; lakini sheria haimzuii mtu ku step out of her house.
My mum alienda mahakamani baada ya 5 years ya kusepa kienyeji.
Na ni ndugu zangu ndio walimshauri kwa kuwa waliona kuwa if dad ataoa mwanamke mwingine jasho la mama litapotea.
hayo yote uliyoyaeleza kuna wadada hapa jf yanawakuta
na ukiwashauri 'talaka ' tu...mnagombana.......
Hivi kuingia kwenye ndoa ndio kunaniondoshea uhalali wa kuwa na Mali zangu mimi mwenyewe?
Kwa mfano nimeachiwa urithi mali nyingi sana mzazi alipofariki wakati nipo kwenye ndoa tayari. Ile mali unaihesabuje? Yetu mimi na mume au yangu mke?
Mfano mwengine mimi nna biashara yangu, inalipa pesa za kutosha, unaihesabuje hiyo kampuni? Yangu au ya mume? a
In my opinion there is nothing wrong kwa wana ndoa kuwekeza kivyao
asante sana G....maneno ninayopitia kwa kufanya hivi ni kibao, "huyu mwanamke atakukimbia cku moja"....kwanini viwe vyake vicwe vyenu?....hapo mwanaume yeye ana vyake nilivyomkuta navyo lakini cjawahi hata kuuliza kodi zake zinaenda wapi, mie binadamu wananiambia ninavyofanya sio vzr nilivyonavyo vinatakiwa viwe na jina la mr&mrs, vyake vibakie "MSUKUMA".....cjui nilaumu jamii cjui nilaumu mfumo cjui sheria..aghhh
ishu sio mali
ishu ni kuepusha 'watu kutofikia maamuzi'
wanapokuwa kwenye mgogoro na hawawezi kuzungumza tena
umewahi kusikia kitu kinaitwa 'PRE NUPTIAL AGREEMENT ..??????
asante sana G....maneno ninayopitia kwa kufanya hivi ni kibao, "huyu mwanamke atakukimbia cku moja"....kwanini viwe vyake vicwe vyenu?....hapo mwanaume yeye ana vyake nilivyomkuta navyo lakini cjawahi hata kuuliza kodi zake zinaenda wapi, mie binadamu wananiambia ninavyofanya sio vzr nilivyonavyo vinatakiwa viwe na jina la mr&mrs, vyake vibakie "MSUKUMA".....cjui nilaumu jamii cjui nilaumu mfumo cjui sheria..aghhh
ndo maana kuna PRE NUPTIAL AGREEMENT nchi zingine
ni bora na TZ ikapiganiwa iwepo
wacha 2 Boss...mwenzangu kawekeza kila kona huko kwao, bado mikoani, nilivyomkuta navyo na anavyoendelea navyo cna usemi, juzi juzi ndio nimeona baadhi kaandikia wanae, cna neno, mie vyangu nimeamua vibakie "NYAMAYAO"...jamii sasa...familia je? aisee mhhh.....coz ni mwanamke bac anaambiwa akushirikishe huyo, akifa leo utajuaje mali zake ni zipi na zipi na nani atazimiliki......hapo ndio wanaponimaliza aisee.
Kwa mitazamo hii ya ndoa ni bora mtu awe single. Maana ndoa imegeuka uwanja wa mapambano na kila mtu anajihami in one way on another.
Kwa mitazamo hii ya ndoa ni bora mtu awe single. Maana ndoa imegeuka uwanja wa mapambano na kila mtu anajihami in one way on another.
nafikiri wewe huelewi jambo moja....
binadamu akiwa 'in love' na akiwa 'out of love'
ni watu wawili tofauti
so bora hatua za tahadhari ziwepo mapema....after all love is blind sio??????
Kuna mtu nilikuwa nazungumza nae akanambia yeye alinunua kiwanja kabla hajaolewa. Walipooana nyumba wakajenga pamoja ama kwa kujibana nyumbani na nyengine kila mmoja akitoa kutoka mfukoni mwake mwa mshahara. Yule Bwana kwenda kuandikisha tittle deed kaweka jina lake TU, mwanamke akimuuliza anakuwa mkali (wakati yeye amejenga nyengine kijijini kwao kwa jina lake pia)
Sasa hapo haki iko wapi? Tuseme mume akifa wale ndugu wa mume watamchukuliaje mwanamke akisema kuwa nae pesa yake ilihusika kwenye nyumba?
Ni time kwa wanawake kujua haki zao na kuzidai haraka sana (tukiambiwa hatuna mapenzi ya kweli potelea mbalini)
True love is blind. But when you start calculating how you are gonna divide your property after divorce; jinsi gani mtafanya mkiachana; hapo hakuna blindness na nachelea kusema hata hiyo ndoa haija base kwenye love at first place. Yaani jamaa anapropose afu mnakaa kudiscuss divorce na mgawanyo wa mali; hiyo itakuwa ndoa ya love au business? Sishangai maana nasikia watu siku hizi wanaoana kisanii