Ushauri wa online business

Aunt Cash

Member
Joined
Feb 3, 2019
Posts
88
Reaction score
97
Habari zenu wakubwa, leo tena kijana wenu nimekuja mbele yenu naomba ushauri kwa mtu ambae anauzoefu na hii biashara ya online (kutangaza na kuuza bidhaa mitandaoni ), kwani nimekuwa nikivutiwa nayo sana lakini nakosa pa kuanzia ,kwa yeyote mwenye kujua yafuatayo kuhusu hii biaahara naomba ushauri wako :
1. Mtaji
2. Sehemu ya kununulia hizo bidhaa kwa bei cheap
3. Changamoto zake
4. Na namna ya kufanya mauzo i mean pay after delivery kwan wengi wanaojitangaza wamekuwa wakisema unafanya malipo baada ya kupokea mzigo
5. Na je inahtajika niwe na duka au store ndo niweze kufanya ?!,

NB: Sitarajii kukutana na majibu kama haya


 
Nasubiri kujifunza pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…