Kaka we unachotakiwa kuangalia hapo sio swala la kipato wala umri. Angalia yafuatayo; je unampenda na yeye anakupenda kutoka moyoni? mnaheshimiana kwa mambo muhimu na ya msingi? mnaweza kuishi pamoja?
Kama hayo yanawezekana anakufaa mkuu age and money sometimes dont matter