Kilio Cha Miti
Member
- Oct 11, 2015
- 14
- 1
Maswali ya wanaume wa miaka hii......majangaa
Ndundu wana Jamvi naombeni ushauri na busara zenu kuhusu mchumba wangu.
Kwa mara ya kwanza tulifahamiana tulipokutana kazini kisha tukawa marafiki na kuendeleza urafiki kwa miaka kadhaa.
Wote tunapendana na wote tumefanikiwa kupata kazi ila yeye kipato chake kiko juu kuzidi mimi na pia ananizidi umri kwa mwaka mmoja na nusu japo kua mwili wake ni mwembaba kwahiyo sio rahisi mtu kujua kama ananizidi umri.
NAOMBENI BUSARA NA USHAURI WENU KAMA INAFAA MIMI KUWA MME WAKE...
NAomba kuwasilisha,
Kilio cha Miti
concern yako unayoombea ushauri ni kigezo cha umri au salary?
mapenzi na ndoa ni maridhiano ya wawili, issue za umri ni nyie wenyewe muangalie je wewe upo comfortable kuwa nae while amekuzidi? je na yeye yupo comfortable pia?
issue ya yeye kukuzidi mshahara jiulize pia maswali hayo hapo juu, na kuongezea uangalie je atakuheshimu despite kuwa amekuzidi kipato?
kaeni, pangeni na kubalianeni.
usisahau kutupa mwaliko mambo yakikaa sawa
kilichokushinda ni nini hapo sasa
Shida nini hapo? Mapenzi Ni kuelewana na sio umri babue
Mi najuaga we ni dume ujue
Ndundu wana Jamvi naombeni ushauri na busara zenu kuhusu mchumba wangu.
Kwa mara ya kwanza tulifahamiana tulipokutana kazini kisha tukawa marafiki na kuendeleza urafiki kwa miaka kadhaa.
Wote tunapendana na wote tumefanikiwa kupata kazi ila yeye kipato chake kiko juu kuzidi mimi na pia ananizidi umri kwa mwaka mmoja na nusu japo kua mwili wake ni mwembaba kwahiyo sio rahisi mtu kujua kama ananizidi umri.
NAOMBENI BUSARA NA USHAURI WENU KAMA INAFAA MIMI KUWA MME WAKE...
NAomba kuwasilisha,
Kilio cha Miti
Ni dume hata mi nahisi,hizi zitakua ni swaga zake tu.
Hiki ndicho kipingamizi cha uhusiano wenu ambacho tayari umekitambua.yeye kipato chake kiko juu kuzidi mimi na pia ananizidi umri kwa mwaka mmoja na nusu
unajifeel inferiorMkuu ni ile tu psychology inayonisumbua kuwa mwanamme wa mwanamke anaye nizidi kipato na umri