Ushauri wa mwanamke unapo mpotosha mwanaume

nimeipenda hii

Acha tu, manake utakuta alikuwa anamtia moyo kweli kweli, maliza kabisa baba, ua hiyo takataka mpenzi, anatusumbua na shilingi mia tano tu mmalize huyo tuondoke zetu.

Kababa nako kakapata nguvu, kakamaliza kweli.
 
Lol!!!
 
izi akili changanya na za kwako chochote tu waeza beba bila kuangalia madhara yake huyo lazima alikuwa mwehu sh 500
 
dah ni issue ya mzaha matokeo yake jamaa itamlazim kula mvua kadhaa. Ila naona hapa mwanamke nae moja ya wale ambao hawana busara na mwenye kupenda shari na ubabe. wanawake walio wengi huwa mstari wa mbele kutuliza mumkari wa waume wao kuepusha shari zaidi ila kwa huyu imekuwa kinyume...sasa atapiga mguu magereza kwa sana kwenda kumwona mumewe na usemi usemao MAJITU NI MGUU hautamtoka akilini
 
Back
Top Bottom