Ushauri wa mahusiano

Beatus R Kaole

New Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Ni Kijana Wakiume nina miaka 23 nimpendae kanikataa nisiyempenda ananiganda naomba ushauri wenu nifanyeje?
 
Mbona rahisi usiyempenda mim namtaka,nipe mim wengine sis ni matingatinga hatuchagui..
 
Ni safari ya kimaisha serebuka unaweza kuja kupendwa tena
 
bora KE akupende sana kuliko ww. lkn kama hakupendi alafu ww ME ndo umependa sana daima itakuwa mtu wa kulia na kuteswa sana! ushauri wangu kwa leo ni huo tu mkuu!
 
Tulia subiria ambaye hisia zitakuwa sawa.
 
kumpenda mtu asie kupenda nisawa na kusubiri bot airport. penda unapo pendwa sawa kijana
 
Mtu kunywa kunywa milenda sio ulafa ila kupendaaa! Nzi kufia kwenye kidonda sio ulafa ila kupendaaa, ni kama kibaka kuomba lift kwenye diffender! Komaaaa! Kaaaaa! Upewe chansi ya kumpelemba na kumbemendaaaa! Usijibane bane eeeeh!
 
Ni wimbo au...?
 
Itakuwa unasumbuliwa na ugonjwa wa akili tafuta matibabu kwanza halafu tukupe ushauri.
 
Ni Kijana Wakiume nina miaka 23 nimpendae kanikataa nisiyempenda ananiganda naomba ushauri wenu nifanyeje?
Nimpendae Hataki nisompenda yu hoi hadi anakupa dhiki....Majibu yake utayapata kwenye nyimbo ya Old is Gold,
Nyimbo inatwa nimpenda hataki...........
 
Ukiweza kun'gamua utata huo utakuwa ushakuwa tayari. Tumia akili miaka you are grown up now miaka 23 sio midogo!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…